Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nimechelewa na minutes zishasomwa.anywei mie zangu ni shukrani za dhati kwa ajili ya lile bonge la fanksheni kwanza kabisa kwa my dia mchumba Xpin- mwenyekiti wa kamati ya maandalizi,Nguli -MC wetu(mzee wa vyuma),Geoff-Mgeni rasmi, mamaa wa ukweli Carmel,YoYo-cool guy,Fidel80-mzee wa vinywaji,na bila kumsahau Masanilo aliyetutwangia saa zima all the way from Zenj.
It was so nice to see you all live kabisa bila chenga za keyboard,I love you all!
He! He! He! Naomba mawani yangu nisome upya hii.