Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kuna watu hawapendi kuona mishumaa ya wenzao iking'aa gizani mh! sipendi kuwa spare tairi ngoja nitafute mwingine. Na shairi nafuta
Ila kwa ZD chondechonde usithubutu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu hawapendi kuona mishumaa ya wenzao iking'aa gizani mh! sipendi kuwa spare tairi ngoja nitafute mwingine. Na shairi nafuta
naona i cant keep up with the pace of this thread if u no wora i mean, wapwa leo mko fast kama wote mlikunywa konyagi jana.
naona i cant keep up with the pace of this thread if u no wora i mean, wapwa leo mko fast kama wote mlikunywa konyagi jana.
Konyagi a.k.a fanta na korosho!
Kuna watu hawapendi kuona mishumaa ya wenzao iking'aa gizani mh! sipendi kuwa spare tairi ngoja nitafute mwingine. Na shairi nafuta
hahahaa,tulikuwa tunazuga na kilimanjaro,tulimix kidogo vikonyagi!
[/COLOR]
ndio nini sasa hivyo, mwenzio nshakupenda!
mmefurahi wengine tunaumia kipigo cha Yanga mmmh inaniuma sana nikifikilia waga ninalia inaniuma saana
NAAM!hata mimi naipitia database yao hapa naona ndivyo ilivyoKumbukumbu zangu zinaonyesha hivyo. Kwani kuna mabadiliko yoyote?
Umetoka out of point. Rudi kundini mama!
haya shemeji darasani nilikuwa nakuwa wa kwanza ngoja nirudi .hahahah
[/COLOR]
ndio nini sasa hivyo, mwenzio nshakupenda!
Kumbukumbu zangu zinaonyesha hivyo. Kwani kuna mabadiliko yoyote?
lakini rasta za Yo Yo noma!sijui ni chafu au ndo rangi yake😀
Kuna mtu mmoja nilisahau kumwalika Belinda Jacob ngoja nimtafute ili next kikao awepo.
Unbreak my heart say u love me again.........mambo ya form 2 B HAYO.