Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,271
- 1,052
hahaha!Nyamayao umenifurahisha sana, naona nimepata pumziko la moyo....nilikuwa na bubujiko la moyo nitakutungia mashairi matamu nitaku pm kuna watu ambao sio wapwa watanakili wakutumie wanipeperushie ndege wangu.
kwa kifupi mimi ni mrefu nina ft 2 na robo nina miaka 46 na niko single so am experiemced staff in that field of LOVE.
dani za ANDANENGA zimekukaa!naona wewe ni BLUREI wa kiswahili