Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

Get tugedha ilifana na ilikuwa bomba

Dah wapwa naona leo mmejikita hapa hapa na huko kungine wanahitaji michango yenu kwenye siasa wakuu.
 
Hujatujibu hoja yetu kwanza,hapa wapwa wote wanauliza,kulikoni unakontacti za SHE wote? tujibu plzz,tujiridhishe,hasa mchumba wangu.
 
Get tugedha Vs Siasa = Nguli Vs Bluray

Nilitaka kumjibu lakini naona umeshamaliza kbs

Pia nampongeza STEVE D kama legend pekee aliyeamua kujiunga nasi tafadhali fikisha salamu zangu za dhati kwa wengine hapo juu nitakuja kuwatembelea siku nikipanda cheo kazini(nikija kwa semnia i mean.)
 
geti tugeza ya jana ndio mapenzi yalizidi .Outing bwana,kumbe inasaidia kuboresha!

Hahahaha outing ya week end haina tatizo sio ile ya kila siku akitaka kupata Serengeti lazima uwepo ile sio anakutana na marafiki zake wanabadilishana mawazo.
 
Hahaha! Mpwa umeistukia hiyo!
 
Nilitaka kumjibu lakini naona umeshamaliza kbs

Pia nampongeza STEVE D kama legend pekee aliyeamua kujiunga nasi tafadhali fikisha salamu zangu za dhati kwa wengine hapo juu nitakuja kuwatembelea siku nikipanda cheo kazini(nikija kwa semnia i mean.)

Wapwa hatuna noma. Peace Always.
 
kikao kijacho hatutaki fanya!umesikia shemeji xpini?unakunywa fanta kama nin!
 
Hujatujibu hoja yetu kwanza,hapa wapwa wote wanauliza,kulikoni unakontacti za SHE wote? tujibu plzz,tujiridhishe,hasa mchumba wangu.

Hahahaha sasa kwa taarifa yako za HE ndo zimejaa kuliko za hao SHE
 
Hahahaha outing ya week end haina tatizo sio ile ya kila siku akitaka kupata Serengeti lazima uwepo ile sio anakutana na marafiki zake wanabadilishana mawazo.
una maanisha nini? Semenya huwa anakuja ile ambayo huwa sipo?
 
kikao kijacho hatutaki fanya!umesikia shemeji xpini?unakunywa fanta kama nin!

hahaha! Mchumba alinikataza kunywa serengeti, kakubali next kikao nizifakamie. No worry bwashee. Tunashukuru jana glasi zilibaki salama. Hahaha! Banta na glasi wapi na wapi bana!
 
Back
Top Bottom