Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
una maanisha na breki za nyuma zikiisha?
Hehehehe! Afu kuta za nyumba zisiwepo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
una maanisha na breki za nyuma zikiisha?
Hehehehe! Afu kuta za nyumba zisiwepo?
i am yours,you are the only one,love you!
thats my girl over there.
Dah wapwa naona leo mmejikita hapa hapa na huko kungine wanahitaji michango yenu kwenye siasa wakuu.
geti tugeza ya jana ndio mapenzi yalizidi .Outing bwana,kumbe inasaidia kuboresha!
Hujatujibu hoja yetu kwanza,hapa wapwa wote wanauliza,kulikoni unakontacti za SHE wote? tujibu plzz,tujiridhishe,hasa mchumba wangu.Dah wapwa naona leo mmejikita hapa hapa na huko kungine wanahitaji michango yenu kwenye siasa wakuu.
geti tugeza ya jana ndio mapenzi yalizidi .Outing bwana,kumbe inasaidia kuboresha!
Get tugedha Vs Siasa = Nguli Vs Bluray
geti tugeza ya jana ndio mapenzi yalizidi .Outing bwana,kumbe inasaidia kuboresha!
Hahahaha outing ya week end haina tatizo sio ile ya kila siku akitaka kupata Serengeti lazima uwepo ile sio anakutana na marafiki zake wanabadilishana mawazo.
Nilitaka kumjibu lakini naona umeshamaliza kbs
Pia nampongeza STEVE D kama legend pekee aliyeamua kujiunga nasi tafadhali fikisha salamu zangu za dhati kwa wengine hapo juu nitakuja kuwatembelea siku nikipanda cheo kazini(nikija kwa semnia i mean.)
una maanisha nini? Semenya huwa anakuja ile ambayo huwa sipo?Hahahaha outing ya week end haina tatizo sio ile ya kila siku akitaka kupata Serengeti lazima uwepo ile sio anakutana na marafiki zake wanabadilishana mawazo.
Hahahaha sasa kwa taarifa yako za HE ndo zimejaa kuliko za hao SHE
kikao kijacho hatutaki fanya!umesikia shemeji xpini?unakunywa fanta kama nin!
..hapa uko off point babu!