Shishi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 1,242
- 42
Zimwage mkuu. Lakini ile wakati tunapigana busu na mchumba usiziweke tafadhali. Pombe zilinizidia.
ahahahaha.... Nguli zimwage tujue nani kafanya tabia mbaya....si vioja tulivovikosa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zimwage mkuu. Lakini ile wakati tunapigana busu na mchumba usiziweke tafadhali. Pombe zilinizidia.
mlijitambulisha kwa majina yenu haswa ama ilikuwa ni mambo ya JF....kila mtu na 'name tag' no questions asked?
naona tutaanza kufanya regional get tugedhas ndio sote tufaidi...ningependa kumuona Burn, Kaizer, YoYo, Xspin, nguli na wengineo...
Safi sana Dogo..nimeshabonyezza kale kakitufe...sasa jirani si unajua tena mambo yetu ya Kimara...next tyme nitaanzia kwenye reconnaisance ya venue kabisa...of course itahitahi approval ya mkulu Xpin na Nguli..... (nasikia na ZD itabidi awepo by default)
Sisi ni wapwa na mabinamu. Tunapokutana tunatumia majina yetu halisi. Karibu, we tuPM tu ukitaka kuchanganya damu yako na yetu nawe uwe mpwa. Hahaha hivi wewe ni he au she? Hilo nalo muhimu sana.
we achana na wasiwasi mwingi...nikifika utajua kama ni she/he...... umuhimu wake ndio nini? noana tayari utakuwa na mlinzi ZD?
we achana na wasiwasi mwingi...nikifika utajua kama ni she/he...... umuhimu wake ndio nini? noana tayari utakuwa na mlinzi ZD?
Hahaha! Ulinzi muhimu si unajua kuna kina Semenya? Jibu sasa we ni he au she?
kwa hiyo utakuwepo next time?
huyu ni HE!nilimuona uwanjani jumamosi anakojoa kwenye masinki ya kunawia uso😀Bwashee, huyu atakuwa he/she?
huyu ni HE!nilimuona uwanjani jumamosi anakojoa kwenye masinki ya kunawia uso😀
usijaribu!ai hope zd ameshaondoka online!😀Hehehehehe! Bwashee unaua? Kwa mpango huo ngoja niachane na PM. Nilikuwa nataka kutest zali. Si unajua tena bwashee yale mambo yetu?
funika bovu!Thread imegonga 40. oclock! wapwa bwana mkiamua mnatisha
Shishi ni SHE wajameni....
Next....
weka vitu.naomba picha ya yoyoNiruhusuni niweke picha zenu nimetanguliza zangu
Niruhusuni niweke picha zenu nimetanguliza zangu
Jamani Nguli, hivi kumbe unaweka za ukweli ukweli? ohoooohapa nikiwa naongea na masanilo