Ukiumwa hatuna habari, you never told us anything. Kwa hiyo umeskia vibaya watu kumtakia AshaDii kupona haraka?
Thanks for your concern, rest assured that as a Mod and as a friend I have done the necessary kabla ya kurusha uzi.
Absolutely speechless......
Sijaconclude, nimeuliza. Maana the way uliuliza swali lako ni kama unasema kuna hali ya kupendelea members fulani over wengine.siwezi kumtakia mabaya binadamu mwenzangu, msipende kukimbilia kwenye hiyo conclusion (always).
Get a friend in JF who cares for you. Ukiumwa atatupa taarifa (as members) na tutakutakia kupona. Mi sikuanzisha uzi huu kama mod, nimeuanzisha as a friend who cares.Na nikitaka taarifa ziwafike pindi ninaumwa nafanyaje?
Sijaconclude, nimeuliza. Maana the way uliuliza swali lako ni kama unasema kuna hali ya kupendelea members fulani over wengine.
Get a friend in JF who cares for you. Ukiumwa atatupa taarifa (as members) na tutakutakia kupona. Mi sikuanzisha uzi huu kama mod, nimeuanzisha as a friend who cares.
huuuuu...this long! Is it something very serious?She will be out by Valentine day, Inshallah!
We believe...
Unajua hakuna ugonjwa mdogo SMU. But she is in good hands, and we pray for her.huuuuu...this long! Is it something very serious?
Pole sana AshaDii..
Tunakumisije?!
Inshaallah Mola atakuafu..
Duh! - hiki Kiswahili hiki!
mi mbona nikiumwa huwa hamnitakii kupona haraka? au hii ni kwa designated members tu?
mpole hujambo? Mwali yuko wapiuna shangaa nn hali ww ulimweng wa dot com? Acha ushamba ww!