Bado nina kazi kidogo ya kumuuguza Anti. Ongea na ndugu yangu Golden mpoleeeee, nitarudi late kidogo. πmpole hujambo? Mwali yuko wapi
mpe pole kutoka kwangu.nimenunulia matunda akija tu nitampa.Bado nina kazi kidogo ya kumuuguza Anti. Ongea na ndugu yangu Golden mpoleeeee, nitarudi late kidogo. π
una shangaa nn hali ww ulimweng wa dot com? Acha ushamba ww!
RR hatakupiga ban nbana ..punguza tu ukali wa manenoaaaarrrrggg! Ngoja niyoyome ban inanukia.
RR hatakupiga ban nbana ..punguza tu ukali wa maneno
πoaπoaπoaPolee mwaya Ashadii, Unaumwa nini jamani?? Ama ni MALARIA SUGU, nikuletee ASPRINI?
Aunt yako anaumwa aliniachia list ya kazi za kufanya pale home. njoo nikupe yako.