Pole sana aisee
ndo maana hadi 'nadondokewa' kumbe
the 'the top jf bachelor anaumwa'pole sana get well soon...
uje uamue huku ni 'Kokuberwa au Jux au nanihii lol
Umeongea la Msingi saana (nasikia anaemuuguza ni Sweetlady)
Ugua pole mzazi.
Mungu wetu ni mwema sana, unaenda kupona very soon!
uje uamue huku ni 'Kokuberwa au Jux au nanihii lol
Kumbe na wewe unajua kutoa pole
upo mzazi mambo niaje aise
daaa hata mimi ndo maana nikaamua kutangaza niaPole sana aisee
ndo maana hadi 'nadondokewa' kumbe
the 'the top jf bachelor anaumwa'pole sana get well soon...
uje uamue huku ni 'Kokuberwa au Jux au nanihii lol
soon bro
Senior Bachelor wa humu
kaka Kb, mi nipo bana! Inakuwaje? Za kuleee?
Nyie ndio mnaomuongezea hali mbaya mgonjwa wetu, kwa kumkumbusha stastus yake wakati ye anapambana kutoka huko....
umeona sasa...kesi zake ni nyingi mno lol
akipona itabidi 'ajifanye mgonjwa still' kudhibiti hizi kesi...