Get Well Soon "The Finest"

Get Well Soon "The Finest"

Pole sana M/kiti. Mwenyezi Mungu akurudishie afya yako haraka iwezekanavyo.
 
Ugua pole the Finest, Zingatia dawa , msosi upone haraka.
 
Aiseee, pole sana TF, Mungu atakujalia utarejelea afya yako soon.

Kale ka avatar kake ka zamani kanakonesa nesa ndo huwa kananikumbusha huyu "senior bachelor".
 
Get well brother! We are really missing u.
 
POLE DOGO..... ukipona ujibu hii thread
 
Hili ndio balaa la kuomba discount mpaka kwa mama ntilie, Food poisoning mbaya wajameni. Tujitahidini
Get well soon. kamanda

Halaf faza wangu aliniusia "mwanaume haumwi" , kuna day nilimwambia naumwa alinilamba bonge la mkono.
 
Pole fainest,preta mbo umeongolea viungo?ope sio nnachofikiria
 
Hili ndio balaa la kuomba discount mpaka kwa mama ntilie, Food poisoning mbaya wajameni. Tujitahidini
Get well soon. kamanda

Halaf faza wangu aliniusia "mwanaume haumwi" , kuna day nilimwambia naumwa alinilamba bonge la mkono.

kuloro inamaana baada ya kuomba discount he was 'sumud'?
 
a pole mnooo jamani...........
may almighty god be with him
 
Back
Top Bottom