Get Well Soon "The Finest"

Preta,
Tafadahli muulize Ze Finest kama taarifa hizi zimefika eneo la 'Masai Camp'...maana kuna watu wa muhimu sana wa "Nasaba" yake pale!
By Ze Way, Dogo pole sana, Mungu aisimamie AFYA yako ili urudi barabarani!
 
Pole Fynest huko ulipo...pona haraka!!!
 
Haka kamjamaa kumbe kanaumwa?

Lemme dial some numbers........

Ndo maana kaunta ya juu Castle za baridi hazipungui kaunta!
 
The Finest, pole sana Mdogo wangu!
Wengi tunakutakia upone haraka kuendelea na shughuli zako pamoja na kupata hekima zako hapa.
 
nahisi hivyo aisee....manake yuko 'overcrowded'..lol

Mkuu unadata sana za kijana wako, nahofia hii michezo yenu wote. Inabidi na wewe tuanze kukupa pole in advance, as unaenda kuungana naye lol,
kaugonjwa ka maamuzi magumu ni kabaya sana hata Mbu anakajua kaugonjwa haka!
 
Haka kamjamaa kumbe kanaumwa?
Lemme dial some numbers........
Ndo maana kaunta ya juu Castle za baridi hazipungui kaunta!
Hahaha Hommie hebu twende tukakacheki haka kamjamaa inawezekana ugonjwa anaoumwa ni wa kukosa bia!
 
pole saaana ila mungu yupo nawe na utapona
 
Hahaha Hommie hebu twende tukakacheki haka kamjamaa inawezekana ugonjwa anaoumwa ni wa kukosa bia!
Hahahaha.......kanavyopenda biya........ waweza kuta kamekaukia bed!

Ngoja ni do the needful, nikapelekee castle ya kopo kamezee metakelfin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…