Getrude Mongella: Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki

Getrude Mongella: Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki

huyu Getu mwanae ni mkuu Wa mkoa Wa arusha, john mongela
Hawa ndio wanaotafuna keki ya taifa halafu kutwa kujifanya waharakati uchwara.

Mwanaye John Mongela anabebwa kuwa RC huko Arusha.

Wameshiba, wamebaki kupiga domo tu.

Yale yale ya kina Maria Sarungi
 
demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki.
Kabisa..
Kuna wengine wakinena hayo wanabambikiwa kesi za kutunga!
 
Anawakumbusha mashoga nao ni binadamu, wawe na haki kama wengine na tusiwabugudhi
 
Hawa ndio wanaotafuna keki ya taifa halafu kutwa kujifanya waharakati uchwara.

Mwanaye John Mongela anabebwa kuwa RC huko Arusha.

Wameshiba, wamebaki kupiga domo tu.

Yale yale ya kina Maria Sarungi
Washukuru tu ndugu yangu, wangekuwa wabinafsi kama wenzetu wa miaka hii nchi hii isingekuwa jinsi ilivyo leo ambapo kila moja akichacharika anatoboa
 
I just love this mama very much...Very objective, exact and to the point. Her confidence amuses me so much.

God bless you mama Africa!
Inanikumbusha mama mmoja...alikuwa rafiki wa karibu sana kwa uwazi na uthubutu. Hakujua hata Baraka alipata mdogo wake wa kike..angeshangaa sana...
 
I just love this mama very much...Very objective, exact and to the point. Her confidence amuses me so much.

God bless you mama Africa!
I still don't see any objectivity you try to utter. She is speaking so ambiguously and figuratively as the nature of majority Tanzanians.

With all your compliments, frankly saying, there is no point has been driven home.

The art of speaking around the bush is killing this nation.

I still don't know whether she meant advocating for democracy or gender balance.

Let us adopt the trait of being honest and extrovert,rather than, being figurative in utterance that you even fail to talk what you want to talk in concise manner.

Let us grow up men!!
 
RAIS wa Kwanza wa Bunge la Afrika, Balozi Getrude Mongella amesema demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja na kwamba huwezi kutofautisha usawa wa binadamu na demokrasia. Amesema “Unapokuwa unaamini usawa wa binadamu ukiacha baadhi ya binadamu nje wewe ni mnafiki.

Huwezi ukasimama hapa ukazungumza demokrasi, ambayo watu wengine ni wakutafuta. Unafika kwenye vikao afadhari hapa tumechanganyika. Kuna vikao unakaa mstari mzima ni watu wa aina fulani demokrasia ni ushirikishwaji wa kila mmoja wetu.

Huyu mama sasa apumzike asije kutuletea balaa. Usawa wa binadamu sio kuwapendelea jinsia moja. Iko kwenye kutoa fulsa na haki sawa. Sio tuanze kugawana uongozi sawa kwa sawa wanawake na wanaume bila kujali uwezo wa kitaaluma na uongozi wa mtu.
Kwanza wanawake bado wanahitaji ukombozi kifikra. Hata akiwa na kipato gani bado atataka mwanamme ndio agharamikie maisha yake.
 
I still don't see any objectivity you try to utter. She is speaking so ambiguously and figuratively as the nature of majority Tanzanians.

With all your compliments, frankly saying, there is no point has been driven home.

The art of speaking around the bush is killing this nation.

I still don't know whether she meant advocating for democracy or gender balance.

Let us adopt the trait of being honest and extrovert,rather than, being figurative in utterance that you even fail to talk what you want to talk in concise manner.

Let us grow up men!!
Know that we have a culture and thats how we are...We wont be less or more than what we are, okay!
 
Kama hawana qualifications sawa, lakini kama wana qualify basi ni dhambi kuzaliwa kuwa mtoto wa kiongozi?

Leta hoja nyingine siyo hii...Ukisema aliiba mali ya umma, au wakati wa ajira alipendelewa basi itakuwa ni hoja otherwise, hao pia ni raia wa Tanzania wana haki sawa na wenzao bila kujali wazazi wao ni akina nani
Unakumbuka wizi wake kule PAP? Hadi TZ ikalipa deni alilolisbabisha? Mwizi tu!
 
Washukuru tu ndugu yangu, wangekuwa wabinafsi kama wenzetu wa miaka hii nchi hii isingekuwa jinsi ilivyo leo ambapo kila moja akichacharika anatoboa
Mbinafsi hakuwa Nyerere tu, na ndio maana wanaogopa ogopa lakini hakuna huruma hapo.
 
I just love this mama very much...Very objective, exact and to the point. Her confidence amuses me so much.

God bless you mama Africa!
Muwapende pia mama,Shangazi, ndugu zenu pia
Kama unavyompenda huyu mama

Ova
 
Mtoto mwingine yuko PCCB na mtoto wa mwisho yuko TISS. Kuna tatizo ndio
Yaani angekuwa na Watoto 20 wote wangekuwa kwenye system.

Labda kwa huo ujumbe anatutetea sisi tusio na majina tusiachwe nje, hapendezwi na hiyo hali ya kukuta Watu wa aina moja, yaani Mongela, Mongela, Mongela.
 
Unakumbuka wizi wake kule PAP? Hadi TZ ikalipa deni alilolisbabisha? Mwizi tu!
Aaah umenikumbusha ile issue aliyosubmit receipt na kulipwa transportation costs za kusafirisha 'fenicha hewa' btwn Tz and SA..... hahahahaaaa.. kaazi kwelikweli
 
Back
Top Bottom