Ghafla bin vuu huyu ndie Rapper wangu bora wa muda wote (G.O.A.T)

Ghafla bin vuu huyu ndie Rapper wangu bora wa muda wote (G.O.A.T)

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Nilimfahamu gafla bin vuu kupitia Rafik yangu (kibandike), wengi tulipenda kumwita aa Kiba.

Gafla bin vuu ana Mixtape 3

Ujio wa mimi na upweke

Mapishi ya Upendo

Zamani July

Nyimbo zake nyingi nazipenda kuzisikiliza.

Pia kama una nafasi unaweza kuzisikiliza.

Ghafla​

 
Hizi ni Ngoma ambazo Huwa Zina ni motivate sana kufanya chochote nacho kiamini....

Sijawai na sito wai kua CHAWA wa MTU period

AM 4 REAL kama jina langu....
 
Back
Top Bottom