Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Feb 23, 2023 #1 Nilimfahamu gafla bin vuu kupitia Rafik yangu (kibandike), wengi tulipenda kumwita aa Kiba. Gafla bin vuu ana Mixtape 3 Ujio wa mimi na upweke Mapishi ya Upendo Zamani July Nyimbo zake nyingi nazipenda kuzisikiliza. Pia kama una nafasi unaweza kuzisikiliza. Ghafla
Nilimfahamu gafla bin vuu kupitia Rafik yangu (kibandike), wengi tulipenda kumwita aa Kiba. Gafla bin vuu ana Mixtape 3 Ujio wa mimi na upweke Mapishi ya Upendo Zamani July Nyimbo zake nyingi nazipenda kuzisikiliza. Pia kama una nafasi unaweza kuzisikiliza. Ghafla
Interlacustrine R JF-Expert Member Joined Jan 22, 2022 Posts 7,186 Reaction score 14,274 Feb 23, 2023 #2 Uchawa ni bonge la ajira asikwambie Mtu mwanangu...[emoji87]
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Feb 23, 2023 Thread starter #3 Interlacustrine R said: Uchawa ni bonge la ajira asikwambie Mtu mwanangu...[emoji87] Click to expand... Uchawa una husiana na nini??!! Mbona upo too emotional....
Interlacustrine R said: Uchawa ni bonge la ajira asikwambie Mtu mwanangu...[emoji87] Click to expand... Uchawa una husiana na nini??!! Mbona upo too emotional....
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Feb 23, 2023 Thread starter #4 Hizi ni Ngoma ambazo Huwa Zina ni motivate sana kufanya chochote nacho kiamini.... Sijawai na sito wai kua CHAWA wa MTU period AM 4 REAL kama jina langu....
Hizi ni Ngoma ambazo Huwa Zina ni motivate sana kufanya chochote nacho kiamini.... Sijawai na sito wai kua CHAWA wa MTU period AM 4 REAL kama jina langu....