Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Ila Mimi napenda mademu wawe wapiga vizinga hasa haswa.
Maana wasipokuwa na vizinga vikali,Kuna baadhi ya wanaume tunaanza kuwatumia hovyo.
Unakuta mtu anapiga watatu kwa siku.
Haya ni matumizi mabaya ya binadamu.
Demu anakupa mzigo,anatokea kukuelewa sana,kesho yake anakuja bila taarifa anakukuta na mwingine ndani.
Analia na kujilaumu sana,mwisho wa siku anasema wanaume wote ni mbwa.
WADADA ENDELEENI KUPIGA VIZINGA,HATA VYA MILLION