Mkereketwa_Huyu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 9,836
- 7,231
Kuelekea siku kuu ya wapendanao wiki hii, mademu wengi sasa wamekuwa wanyonge. Yaani wengi wao wamekuwa wapole haswa wale wasio na boyfriends, walio wengi kwa sasa wanaokotwa tu kama kuku walio na mdondo.
Unatongoza asubuhi mchana unachapa kiulaini tena haulipi, imekuwa kama zamani. Wataalam wanasema hii inatokana na stress za kuwa single muda mrefu na pia wamejirudi katika uhalisia na kuachana na maisha fake waliyokuwa wakiendekeza. Karibuni wanawake[emoji1539]