Ghafla tu Ngara na majimbo mengine yanatetewa yabakie Kagera, sababu ni Kabanga Nickel

Ghafla tu Ngara na majimbo mengine yanatetewa yabakie Kagera, sababu ni Kabanga Nickel

Kwann kijiji cha Chato kibadilishwe kuwa mkoa?
Wewe kinachokuuma ni nini? Au tauapungukiwa nini mkoa wa chato ukianzishwa na makao makuu yake yakawa chato.?

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe kinachokuuma ni nini? Au tauapungukiwa nini mkoa wa chato ukianzishwa na makao makuu yake yakawa chato.?

#MaendeleoHayanaChama
Wafuasi wa jini jiwe mnalazimisha aenziwe huyo jini wenu
 
Kukua kwa teknolojia kunaifanya dunia kuwa kijiji na nchi yetu haipaswi kubaki nyuma. Tuendeleze teknolojia ili kuboresha na kurahisisha upatikanaji wa huduma mbalimbali, tuboreshe miundo mbinu ili watu wapate huduma wanazohitaji kwa wepesi na urahisi. Uboreshaji huo utafanya hata utawala na uongozi kuwa rahisi zaidi. Hivyo kwa maoni yangu badala ya kuongeza mikoa, wilaya na majimbo ya uchaguzi vipunguzwe na fedha hizo zielekezwe kwenye miundo mbinu na huduma bora kwa wananchi. Umoja ni nguvu!!
 
Mleta mada nimekuelewa hapa kinachokusumbua ni elimu ya darasani na kukosa upeo kutoka hapo ulipo ukatembea mikoani angalau ukapata mwanga nanikiongea kutembea sio kukaa kwenye gali kama spea taili alafu tukikuuliza umetembea mkoani unatujia stend ya mabasi naenda kwenye mada yako kama chato imekua kimapato basi iwe halmashauli au iwe manispaa sio kutengeneza mkoa kisa madini kwani ngara imekua kuzidi kahama mbona kahama haijawa mkoa au kwa nn usiwe mkoa wa ngara
 
Ikiwa chato itakuwa mkoa Basi napendekeza makao makuu yake yawe nyakanazi kubalance maendeleo ya hizi wilaya tanzu.
 
Kwani mikoa ya Manyara na Katavi ilianzishwa na Magufuri ?
Ilianzishwa kwa sababu ya kifo cha mtu?
Ilianzishwa kwa sababu ya kupata madini?
Ilianzishwa kwa kuungaunga maeneo ya mikoa mingine?

Unajua kwa nini Manyara ulifanywa mkoa na ulimegwa wapi, na huo mkoa uliomegwa ulikuwa mkubwa kiasi gani? Unaona kuna mfanano wowote
 
Wahaya ni wash....nzi..ingawa ni shemeji zangu..hoja zao zimejaa ikabila..na pia ngara na bihalamuro ni maeneo ambayo wenyeji wa huko wanawaita wa nyamahanga..yani kiufupi wana wadharau sana..kisa sio wahaya.

Hoja kubwa mkoa wa Chato uanze.

#MaendeleoHayanaChama
Kuita watu wanyamahanga sio tusi wala kejeli. That time hakuna mtu anajua dunia ina jamii ngapi na races ngapi, neno mnyamahanga lilimaanisha mtu wa mataifa mengine asiyejua Kihaya wala tamaduni zake.

Wewe ukiita mtu Mchina, Mzungu, Myahudi au Msomali nawe ni mshenzi na mkabila kama Wahaya na una dharau watu kwa kuwa sio kabila lako. Does it make sense?
 
Umeshawahi kufika Chato? Kama haujawahi fanya upite Mkuu, yenyewe tuu kama yenyewe inahitaji msaada sasa vipi ukiifanya Mkoa?

Huo msaada ndiyo huo sasa wa kuifanya kuwa Mkoa,soon mji wa Chato utakuwa kama mji wa Bukoba.
 
Mleta mada nimekuelewa hapa kinachokusumbua ni elimu ya darasani na kukosa upeo kutoka hapo ulipo ukatembea mikoani angalau ukapata mwanga nanikiongea kutembea sio kukaa kwenye gali kama spea taili alafu tukikuuliza umetembea mkoani unatujia stend ya mabasi naenda kwenye mada yako kama chato imekua kimapato basi iwe halmashauli au iwe manispaa sio kutengeneza mkoa kisa madini kwani ngara imekua kuzidi kahama mbona kahama haijawa mkoa au kwa nn usiwe mkoa wa ngara
Team jiwe wanataka kila yakiibuka madini tutengeneze mkoa, kila akifa rais tutengeneze mkoa, kila muombolezaji aliyeshiba ubwabwa akijiongelesha basi tuchukue maneno yake.

Mwanzo wa mataifa kuvunjika huwa ni huu. Mnaanza kujikuta watu fulani wanataka mkoa, baadae serikali za majimbo, baadae autonomous states na vyombo vya serikali kasoro jeshi, baadae mamlaka kamili.

Ka nchi kadogo kama Tanzania wanalazimisha kawe na mamikoa kibao wakati hapo tunaongeza gharama za uendeshaji wa serikali. Hii nchi ishaunganishwa na barabara mikoa yote na huduma zinapatikana hakuna sababu ya kuvunja vunja maeneo kisa marehemu aliwaza.
 
Kwa maana hiyo hawawezi kupata faida ya Nickel hadi Chato iwe Mkoa? hoja dhaifu sana hii
 
Kabla ya Manyara kumegwa kutoka Arusha bado Arusha ilikuwa na eneo dogo tu kuliko Tabora au hujui jiografia tu hata ya darasa la nne ? Mbona hujajiuliza kwanini kutoka Bomang'ombe makao makuu ya Wilaya ya Hai kwenda Sanya juu Makao Makuu ya Wilaya ya Siha ni km 16 tu ? Yote hayo yalifanywa kwa sababu ya ushawishi wa wanasiasa. Hivyo, wacha Chato iwe mkoa na wewe tuone kama utajinyonga.
Ilianzishwa kwa sababu ya kifo cha mtu?
Ilianzishwa kwa sababu ya kupata madini?
Ilianzishwa kwa kuungaunga maeneo ya mikoa mingine?

Unajua kwa nini Manyara ulifanywa mkoa na ulimegwa wapi, na huo mkoa uliomegwa ulikuwa mkubwa kiasi gani? Unaona kuna mfanano wowote
 
Leo ndio wamekuwa na upendo kwa eneo la mpakani siku zote wakituburuza.

Imefika tamati sasa.
Kuna swali la msingi kauliza na hujamjibu..

Kauliza hivii..

Faida ya nickel haiwezi kuonekana mpaka mkoa wa chato uanzishwe?

Itakua vyema kama ukimjibu.
 
Uzi wa ukabila huu. Yaani muanzishe mikoa ndani ya mkoa kisa madini ya nickel? Kama ingekuwa kwamba sehemu ikiwa tajiri basi inajitenga Dar es Salaam ingekuwa ishajiita nchi kabisa ndani ya nchi ya Tanzania. Maana Dar inachangia aslimia 75 za GDP ya nchi.
Nirudie tena ni ushamba kamgodi kamoja kuanza kuleta chokochocko zisizo na kichwa na miguu. Ni kukosa akili.
 
Back
Top Bottom