GHANA overtakes Lazy Tz after Rebasing economy

Habari ndio hiyo, watashindwa na viinchi vidogo vidogo huku wakiwa na kila kitu. Uzembe ni laana mbovu...
UMesoma kilichoandikwa na kuelewa au umekopi aliyoandika huyo mleta thrd? Uzemebe wa kusoma. Wapi wanaeleza kuipita TZ. Namba zinakufanya ushindwe hata kusoma na kuamua kusema sawa! Fine tune your thinking!
 
UMesoma kilichoandikwa na kuelewa au umekopi aliyoandika huyo mleta thrd? Uzemebe wa kusoma. Wapi wanaeleza kuipita TZ. Namba zinakufanya ushindwe hata kusoma na kuamua kusema sawa! Fine tune your thinking!
Mbona wanaTz mnashindwa kuelewa simple logic, ama ni living in Denial?. Ghana imeshawapita, Ghana’s current GDP ni $ 58.9 Billion, Tz $ 52 billion


β€œThe rebasing means that current GDP value including oil is estimated at 256.67 billion cedis ($58.9 billion), up from 123.65 billion cedis”
 
Lol.... You're poorer than Uganda
 
Very true. This year their net exports was a negative whilst that of Kenya was a positive. Now,who cooks data btwn the two?
 
Lol.... You're poorer than UgandaView attachment 967018


Yaani wewe dada,unajuaje kuwasakama Wabongo!!!

Duh

Hiyo ni idadi ya watu wanaoishi kwenye umasikini...kwa population yetu ya 60mil people naona hatujafanya vibaya sana...Japokua we need to do a better job to lift these people to the other side!

Cha ajabu poverty ratio zetu ni sawa kabisa..yaani ukichukua idadi ya masikini ukigawanya kwa total population unapata ratio sawa.

Yaani:

Uganda: 14.2mil/42.86mil*100%=33.1%
Tanzania : 19.9mil/60mil*100%=33.2%


Walao kwetu gap ya two divide sio kubwa sana kama Kenya,yaani Kenya ukiwa masikini unaweza usitoke huko kabisa maana akina Jimmy Wanjigi wapo mbali sana na wewe Wanjiku!

Yaani Wakenya bana,mnapenda ku-harass watu,duh!
 
πŸ˜€πŸ˜€no hard feelings tho.usiwe na wasiwasi.
 
Very true. This year their net exports was a negative whilst that of Kenya was a positive. Now,who cooks data btwn the two?

Everybody cooks data,especially Kenyans..

TZ we even dont bother to collect them to begin with....!And this I'm not pride of course!

Exports jiwe na CCM yao wametuzengua big time....!

Kenya shukuruni Mungu hamna dude linaitwa CCM,this devilish thing is keeping us innocent hardworking people of this country back approaching a century now!

Once we kill CCM,we will give you a run for your money!
 
I don't think so.what I'm trying to say here there is a probability that tz is the one who cooks data. This year, Kenyan exports were higher than that of Tanzania. Having a trade deficit plays a detrimental role on the economy. You imported more than you exported .
 

Dada Jenny

Jamani tangu lini third world country like Kenya or TZ zilisha-export more than imports?Lini?

It has never happened labda kipindi cha ukoloni only!

Kenya,TZ,UG,whoever God knows who tupo import-driven!

Wewe dada import/export balance hua ni negative in our lifetime and next!

Tunachofanya tunapunguza gap la negative,Kenya mnajitahidi sana ku-export zaidi yetu of course hatukatai hilo,ila wote tunaogelea kwenye negative ONLY!

Lidude kama Germany lina-export 100%!

Kenya na positive export-import wapi na wapi?NEVER!
 
LoL...I mean this year.I don't know about the previous .Kenya exports and remittances increased while yours decreased.
 
LoL...I mean this year.I don't know about the previous .Kenya exports and remittances increased while yours decreased.

Dada Jeni hata mkusanye remittances za diaspora wenu wote na mzalishe maua na kahawa na chai na kila kitu mka-export hamuwezi fikia imports mnazofanya per year!

NEVER!

Mtafikia tu iwapo muwe na uwezo wa kuzalisha magari ya kutosha kwa ajili yenu,medical equipments,nguo,electronics,aeroplanes ,madawa,pembejeo za kilimo,crude oil,etc etc....Vyote hivi na vingine chungu nzima mzalishe NDANI ya nchi msiagize ng'ambo hata kidogo!

Exports zenu ni zipi sasa?Chai,kahawa,madini kidogo,maua,utalii,pareto,....and eeeerrrr,what else?Nothing!......Sasa sijui uta-export hivi vitu basic namna hii kwa thamani gani ili walao ufikie imports mlizofanya kwa ajili ya SGR tu?Just imagine!

Jeni acha ubishi bwana,wote tunaogelea kwenye negative trade balance mpaka hapo tutakapoweza kuzalisha mahitaji yetu yote nchini,otherwise moto tutauona for another century to come!

Kenya hadi samaki mna-import from China,niliwaona akina Boni Khalwale ,akina Kimani Wamatangi na Debarl Inea wanalalamika sana kwa TV....Kama samaki Mchina anakuleteeni sasa sijui wale samaki wa Homabay au Lamu na Mombasa mnapeleka wapi?
 
I thought you are talking about people's economy,alas!, its about economy of the books!
 
Fair thoughts about ccm tho
 
Fair thoughts about ccm tho

Nyie jamaa mna akili sana,mlistuka mapema sana na KANU mkaiweka kando!

It's unfortunate we are still in chains aisee!

Siku wanakosea hesabu zao tunakua free,aisee I will run naked from Dar to Nairobi and back!
 
Mkuu wa Tz sisi wazembe kama unavyodhani , tatizo la hii nchi ni uongozi , it has always been like that for ages ! , watu wanaoingia madarakani kila muhula ni poor visionaries na poor thinkers

Not magu,and yet they have notised.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…