Ghana: Rais amfuta kazi Waziri wa Fedha kwa tuhuma za rushwa

Ghana: Rais amfuta kazi Waziri wa Fedha kwa tuhuma za rushwa

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Hatua hiyo imefikiwa baada ya kudaiwa aliomba rushwa kwa mwekezaji wa madini ya dhahabu ili amtengenezee njia ya kufanikiwa.

Aidha, Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo amempeleka kiongozi huyo, Charles Adu Boahen kwa waendesha mashtaka ili kukabiliana na tuhuma hizo.

Inadaiwa Boahen aliomba Dola 230,000 (Tsh. Milioni 535) akimwambia mwekezaji kuwa atalifikisha suala lake kwa Makamu wa Rais ili afanikiwe kirahisi kupata tenda ya kufanya uwekezaji.


===========

Ghana minister sacked over illegal mining allegations

Ghana's junior finance minister has been sacked because of corruption allegations against him linked to illegal gold mining.

President Nana Akufo-Addo has referred Charles Adu Boahen to prosecutors.

A documentary alleged that Mr Boahen had asked potential investors for $230,000 (£196,000) to give to the vice president to ensure a deal went through.

There has been no word so far from the junior finance minister.

The country's vice-president said he was not aware of any meeting in which Mr Boahen had used his name to peddle influence.


Source: BBC
 
Back
Top Bottom