Ghana yapiga marufuku kuhubiri kwenye Mabasi, Jela Miezi 8 faini Dola 52

Jitu linatoka kwake saa 12 asubuhi badala kwenda kwenye shughuli za uzalishaji linabeba speaker kwenda kuhubiri vituo vya daladala huku limetega bakuli ya sadaka. Ghana wamefanya vizuri.
Hii stendi ya daladala hapa Mbezi Luis, Kila baada ya mita 50, kuna speaker na mchungaji anahubiri.

Hawa wanafaa wapigwe marufuku kabisa.
 
Ukiwa na YESU niki particle kidogo sana..
Wachawi ambayo ni lea ya chini kabisa kwenye ulimwengu wa giza wanawashinda ndio utamuweza shetani...malaika Gabriel mwenyewe akitumwa duniani kuleta ujumbe anaomba kampani ya mikaeli ili apite
 
Umenena vyema hakuna mwanadamu hata malaika wakumshinda shetani, ila sisi wanadamu tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU kwa hiyo YESU akiwa ndani yetu shetani hamuoni mwanadamu tena bali anamuona simba wa kabila la yuda ndani yetu
 
Ghana ni nchi yenye Wakristo wengi, ambapo kuhubiri injili kwenye vyombo vya usafiri wa umma ni jambo lililozoeleka. Katika mabasi ya masafa marefu, mara nyingi wachungaji huonekana na kusikika wakihubiri injili. Wakati mwingine husimama kwenye ngazi karibu na dereva, huku wengine wakitembea ndani ya basi wakisoma Biblia na kuwataka wenye dhambi watubu kwa sauti kubwa. Wanaendelea kuhubiri hata safari inapochukua saa kadhaa.

Baadhi ya abiria wanaoamini dini hiyo huwapa wahubiri fedha kama msaada wa kuendeleza shughuli zao za kuhubiri.

Hata hivyo, sheria mpya inaweza kukomesha tabia hiyo iliyozoeleka. Mtu yeyote atakayebainika kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri wa umma akiwa safarini anaweza kufungwa hadi miezi minane, kutozwa faini ya hadi dola 52 (takribani pauni 39), au kupewa adhabu zote mbili.

Kanuni hiyo mpya, iliyopitishwa na Bunge mwezi Mei na kuanza kutekelezwa katika wiki za hivi karibuni, inalenga kuzuia mahubiri na biashara ya kutembeza bidhaa ndani ya vyombo vya usafiri vinavyosonga. Vitendo hivyo vimeainishwa kuwa kero, huku mamlaka zikieleza kuwa hatua hiyo inalenga kulinda usalama na kuhakikisha abiria wanasafiri kwa starehe.

Katiba ya Ghana inahakikisha uhuru wa kuabudu, ingawa haki hiyo inazingatia pia masuala mengine, yakiwemo usalama wa umma.

============

Before the morning rush begins, the sound of praise and worship fills the Neoplan bus station in Ghana's capital, Accra, as a group of Christians gather to prepare to evangelise on vehicles taking travellers across the country.

Amid drumming and dancing, Boateng Bismark James leads 13 worshippers, nine men and four women, in prayer for drivers and passengers travelling to destinations across Ghana.

Ghana is a predominantly Christian country where preaching on public transport is widespread.

On long-distance buses, pastors can often be seen - and heard - preaching the gospel.

Sometimes they stand in the stairwell next to the driver, at others they walk up and down the aisle reading from the Bible and calling on sinners to repent at the tops of their voices. They do not stop even if the trip lasts for several hours.

The faithful sometimes offer money to the preachers to support their endeavours.

But a new law means this familiar practice could be coming to an end.

Anyone found preaching in public service vehicles faces up to eight months in prison, a fine of up to $52 (£39) or both.

The new regulation, passed by parliament in May, and which has started to be enforced in recent weeks, targets preaching and hawking on vehicles while they are in motion, classifying both as a nuisance and citing the safety and comfort of passengers.

The new rules have divided opinion.

Critics say preaching on moving vehicles is a nuisance and a safety risk, as it could distract the driver, while supporters argue that evangelism is a Christian duty and should be protected under the freedom of religious worship.

But in this devout country, ranked among the most religious in the world, others say evangelism on public transport is an important way of reaching people who may not attend church.

Ghana's constitution guarantees freedom of religion, although those rights are subject to considerations including public safety.

Source: BBC
Naomba Tz nao wapige marufuku, ni "KERO"
 
Umenena vyema hakuna mwanadamu hata malaika wakumshinda shetani, ila sisi wanadamu tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU kwa hiyo YESU akiwa ndani yetu shetani hamuoni mwanadamu tena bali anamuona simba wa kabila la yuda ndani yetu
wewe unachekesha kama sio ndugu yetu
 
Nimeshuka kwenye daladala muda huu hapa Kisasa Sheli kwa sababu basi nililopanda kwenda Ihumwa baada ya kuingia dogo mmoja sijui wa wapi, akaanza kuwahubiria abiria vifungu alivyoviandaa ili mradi tu akere watu.
 
Bado Bongo. Tupige marufuku kwenye maeneo yote ya umma. Tuzuie makanisa na misikiti kutupigia makelele na vipaza sauti vya azana na upuuzi mwwingine. Mbona wahusika wanapoamka kwenda kazini hawapigiwi kengele wala azana? Ni ukale na ushamba kuendelea kuvumilia makelele haya ambao ni uchafuzi wa mazingira.
 
Sisi huku mambo ovyo ovyo tu kelele kila mahali, watu wanavuta sigara ovyo ovyo hakuna anayejali. Watendaji wanasubiri hadi Rais aseme ndio utawaona kila mmoja anapayuka payuka tu
 
Wale jamaa wabishi aisee, Huwa nawamind kinoma moyoni ni basi tu hakuna namna ila ni kero. Watafute kazi aisee
 
Umenena vyema hakuna mwanadamu hata malaika wakumshinda shetani, ila sisi wanadamu tumeumbwa kwa mfano wa MUNGU kwa hiyo YESU akiwa ndani yetu shetani hamuoni mwanadamu tena bali anamuona simba wa kabila la yuda ndani yetu
Amina...umeeleweka!
Kuna watu hawana Yesu ndani yao ila wanajifanya wanamshambulia shetani, aisee uwa wanaangukia pabaya sana.
 
Ghana ni nchi yenye Wakristo wengi, ambapo kuhubiri injili kwenye vyombo vya usafiri wa umma ni jambo lililozoeleka. Katika mabasi ya masafa marefu, mara nyingi wachungaji huonekana na kusikika wakihubiri injili. Wakati mwingine husimama kwenye ngazi karibu na dereva, huku wengine wakitembea ndani ya basi wakisoma Biblia na kuwataka wenye dhambi watubu kwa sauti kubwa. Wanaendelea kuhubiri hata safari inapochukua saa kadhaa.

Baadhi ya abiria wanaoamini dini hiyo huwapa wahubiri fedha kama msaada wa kuendeleza shughuli zao za kuhubiri.

Hata hivyo, sheria mpya inaweza kukomesha tabia hiyo iliyozoeleka. Mtu yeyote atakayebainika kuhubiri ndani ya vyombo vya usafiri wa umma akiwa safarini anaweza kufungwa hadi miezi minane, kutozwa faini ya hadi dola 52 (takribani pauni 39), au kupewa adhabu zote mbili.

Kanuni hiyo mpya, iliyopitishwa na Bunge mwezi Mei na kuanza kutekelezwa katika wiki za hivi karibuni, inalenga kuzuia mahubiri na biashara ya kutembeza bidhaa ndani ya vyombo vya usafiri vinavyosonga. Vitendo hivyo vimeainishwa kuwa kero, huku mamlaka zikieleza kuwa hatua hiyo inalenga kulinda usalama na kuhakikisha abiria wanasafiri kwa starehe.

Katiba ya Ghana inahakikisha uhuru wa kuabudu, ingawa haki hiyo inazingatia pia masuala mengine, yakiwemo usalama wa umma.

============

Before the morning rush begins, the sound of praise and worship fills the Neoplan bus station in Ghana's capital, Accra, as a group of Christians gather to prepare to evangelise on vehicles taking travellers across the country.

Amid drumming and dancing, Boateng Bismark James leads 13 worshippers, nine men and four women, in prayer for drivers and passengers travelling to destinations across Ghana.

Ghana is a predominantly Christian country where preaching on public transport is widespread.

On long-distance buses, pastors can often be seen - and heard - preaching the gospel.

Sometimes they stand in the stairwell next to the driver, at others they walk up and down the aisle reading from the Bible and calling on sinners to repent at the tops of their voices. They do not stop even if the trip lasts for several hours.

The faithful sometimes offer money to the preachers to support their endeavours.

But a new law means this familiar practice could be coming to an end.

Anyone found preaching in public service vehicles faces up to eight months in prison, a fine of up to $52 (£39) or both.

The new regulation, passed by parliament in May, and which has started to be enforced in recent weeks, targets preaching and hawking on vehicles while they are in motion, classifying both as a nuisance and citing the safety and comfort of passengers.

The new rules have divided opinion.

Critics say preaching on moving vehicles is a nuisance and a safety risk, as it could distract the driver, while supporters argue that evangelism is a Christian duty and should be protected under the freedom of religious worship.

But in this devout country, ranked among the most religious in the world, others say evangelism on public transport is an important way of reaching people who may not attend church.

Ghana's constitution guarantees freedom of religion, although those rights are subject to considerations including public safety.

Source: BBC
Wawapige tu marufuku. Wanatusumbua sana hawa jamaa.
 
Hata huku kwetu zitungwe sheria za kuwadhibiti hawa watu,pia za kudhibiti makelele ya makanisa na adhana za asubuhi za wale wasihiri
 
Back
Top Bottom