Gharama matibabu Ndugai yazua jambo. Alitumia zaidi ya Dola Milioni 12

Kwa hisani ya serikali ya awamu ya tano
 
Hata Donald Trumpa au Quueen Elizabeth basi hawezi tumia hela hiyo!
 
Hata Donald Trumpa au Quueen Elizabeth basi hawezi tumia hela hiyo!
Watz wanaenda kutibiwa India kwa sababu hospitali zetu hazina uwezo kwa sababu ya umasikini wetu. Huyu mgonjwa mmoja anakaa hotel ya nyota 5 kwa miezi 5 akitibiwa kwa gharama za kodi ya wananchi maskini ambapo angeweza kupata VIP room hospital in I kwa gharama nafuu kabisa. Ni gharama hizi ndo zimeleta urafiki kati ya Magufuli na Spika ili kuficha ufisadi huu. Serkali ilikubalije kuidhinisha malipo haya? Waziri wa Afya anasemaje?
 
ni hela nyingi sana asee. yani huu ni zaidi ya ukatili.
 
Nikiwa mkubwa nataka niwe spika
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji15][emoji15] USD million 12 ni sawa karibia kabisa na BILLION 30[emoji19][emoji19][emoji19] kweli kuna roho zina thamani kubwa sana
Ninyingi sana aiseee
 
Hii gharama haiwezekani labda kama kuna watu wamegawana hizi pesa. 30bil? Hata angeenda na lidilimu laina letu na Kijiji chake chote hizo gharama hazifiki $12mil.
 
Angetibiwa Ujerumani tungeambiwa $million 50 kama hiyo ni gharama za India
 
Kwa maana alitumia kiasi cha Tsh. 27,360,000,000 kwa ya kawaida nadhani inasomeka bilion 27.360 kwa matibabu ya mtu mmoja!!
 
kwani alikuwa anaugua nini hicho ambacho kiligharimu hizo fedha?
 
Huu uzi umekosa hata support ya bavicha wenyewe kwa sababu hata akili zao wenyewe pamoja na kuwa za kinyumbu lkn zimeshindwa kuamini kwamba mtu anaweza kutumia billion 30 kwa matibabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…