Gharama na taratibu za kufungua sanduku la posta

deedee

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2010
Posts
257
Reaction score
417
Wakuu aliyefanikiwa kufungua SLP Dar hivi karibuni naomba anijuze utaratibu wake.
Pole sana mkuu. Tafuta post office iliyo active lakini iliyofunguliwa hivi karibuni.

Nenda Ubungo bus terminal. Kuna post office pale na bado wana nafasi. Hakuna usumbufu, unalipa nadhani ni 15,000 unajaza form unapewa box number na kama luck is in your side unaweza kupata ufunguo wakati huo huo.

Unatakiwa uende na 2 passport size photos zako na nyingine mbili na mtu mwingine utakaetaka awe aba access na box number yako. Could be your partner in bisineas or your wife if you have one.

Hope that will be of some help.
 
Kufungua sanduku la posta haizidi sh elfu 12,wewe nenda posta yoyote utapata box lako maana sisi waTanzania siku hizi ni digital kwa hiyo posta imedoda.Tena ukienda ile ya Kijitonyama pale Bamaga utakuta akina mama wanasoma tu magazeti na vitabu kusubiri wateja
 
Kufungua sanduku haizidi 12? Huku
kwetu tulipoteza funguo tu ikabidi tulipie 19500/= au kwa vile ni la kanisa
 
Kufungua sanduku la posta haizidi sh elfu 12,wewe nenda posta yoyote utapata box lako maana sisi waTanzania siku hizi ni digital kwa hiyo posta imedoda.Tena ukienda ile ya Kijitonyama pale Bamaga utakuta akina mama wanasoma tu magazeti na vitabu kusubiri wateja

NENDA NA SHS. 23000 ndo gharama halisi.
 
Kufungua sanduku la posta haizidi sh elfu 12,wewe nenda posta yoyote utapata box lako maana sisi waTanzania siku hizi ni digital kwa hiyo posta imedoda.Tena ukienda ile ya Kijitonyama pale Bamaga utakuta akina mama wanasoma tu magazeti na vitabu kusubiri wateja

Nimejaribu sehemu nyingi(upanga, k'nyama,pugurd), wanatoa sababu tofauti, 1. Yamejaa 2. Wanaruhusu companies tuu, individual hapana 3. Njoo mwezi ujao
 
By bornagain
Kufungua sanduku la posta haizidi sh elfu 12,wewe nenda posta yoyote utapata box lako maana sisi waTanzania siku hizi ni digital kwa hiyo posta imedoda.Tena ukienda ile ya Kijitonyama pale Bamaga utakuta akina mama wanasoma tu magazeti na vitabu kusubiri wateja

Nimejaribu sehemu nyingi(upanga, k'nyama,pugurd), wanatoa sababu tofauti, 1. Yamejaa 2. Wanaruhusu companies tuu, individual hapana 3. Njoo mwezi ujao
Pole sana mkuu. Tafuta post office iliyo active lakini iliyofunguliwa hivi karibuni.

Nenda Ubungo bus terminal. Kuna post office pale na bado wana nafasi. Hakuna usumbufu, unalipa nadhani ni 15,000 unajaza form unapewa box number na kama luck is in your side unaweza kupata ufunguo wakati huo huo.

Unatakiwa uende na 2 passport size photos zako na nyingine mbili na mtu mwingine utakaetaka awe aba access na box number yako. Could be your partner in bisineas or your wife if you have one.

Hope that will be of some help.
 
Pole sana mkuu. Tafuta post office iliyo active lakini iliyofunguliwa hivi karibuni.

Nenda Ubungo bus terminal. Kuna post office pale na bado wana nafasi. Hakuna usumbufu, unalipa nadhani ni 15,000 unajaza form unapewa box number na kama luck is in your side unaweza kupata ufunguo wakati huo huo.

Unatakiwa uende na 2 passport size photos zako na nyingine mbili na mtu mwingine utakaetaka awe aba access na box number yako. Could be your partner in bisineas or your wife if you have one.

Hope that will be of some help.

Thanks mkuu, ntajaribu kesho
 
hawa wasiojuwa ndio wanakashifu SLP , kwa Nchi za ulaya bila kuwa na anuani ya makazi ambayo ndo ya posta hata benki hupewi akaunti, shirika la posta likiweka mifumo bora ya misimbo ya posta itarahisisha sana huduma muhimu mijini na pia kuweka kumbu kumbu za makazi na watu bila kusahau ongezeko la ajira katika kusafirisha parcels na barua
 
Kufungua sanduku la posta haizidi sh elfu 12,wewe nenda posta yoyote utapata box lako maana sisi waTanzania siku hizi ni digital kwa hiyo posta imedoda.Tena ukienda ile ya Kijitonyama pale Bamaga utakuta akina mama wanasoma tu magazeti na vitabu kusubiri wateja

There you are upo sahihi kabisa ndugu yangu Bornagain
 
Nimejaribu sehemu nyingi(upanga, k'nyama,pugurd), wanatoa sababu tofauti, 1. Yamejaa 2. Wanaruhusu companies tuu, individual hapana 3. Njoo mwezi ujao

Nilikutana na hicho kitu pia mimi,at last nilienda pale makao makuu wakanipa sanduku la mwenge kuna kaposta(sio ofisi ni mabox) pale karibu na kanisa la Kakobe. Kama vipi waconvince wakupe popote ambapo pana nafasi,sanduku likikaa muda mrefu i thnk mwaka au miwili bila kulipiwa linatakiwa lifungwe kuachia nafasi but kutokana na uzembe hiki kitu hakifanyiki.Nakumbuka box letu moja la moshi tulikuja kurenew baada ya miaka kama mitano tukalipa elfu 25 that time kufungua jipya ilikuwa elfu 10,so i think wanasubiria hizi hela za kurenew coz wanajua one day utahitaji box lako la posta.
 
Kati ya njia za mawasiliano ambazo siziamini ni posta! hivi kweli ukitumiwa mzigo wako wanakufikishia kabisa bila kuuchakachua au kufunguafungua....???
 
Back
Top Bottom