deedee
JF-Expert Member
- Sep 19, 2010
- 257
- 417
Wakuu aliyefanikiwa kufungua SLP Dar hivi karibuni naomba anijuze utaratibu wake.
Pole sana mkuu. Tafuta post office iliyo active lakini iliyofunguliwa hivi karibuni.
Nenda Ubungo bus terminal. Kuna post office pale na bado wana nafasi. Hakuna usumbufu, unalipa nadhani ni 15,000 unajaza form unapewa box number na kama luck is in your side unaweza kupata ufunguo wakati huo huo.
Unatakiwa uende na 2 passport size photos zako na nyingine mbili na mtu mwingine utakaetaka awe aba access na box number yako. Could be your partner in bisineas or your wife if you have one.
Hope that will be of some help.