Jamani humu ndani mna mijitu mijinga na isiyojitambua, hivi mtu kuja humu akauliza swali lake kutaka kupata ufumbuzi likajitokeza jitu likajibu utumbo linamaanisha kitu gani ama kweli kuwa mstaarabu unahitaji ujitume kweli kweli. Mwisho ukiona hauna msaada pita tu silazima ujibu.
Asanteni sana kwa msaada wakuu wa kazi. Nawatunuku degree ya heshima daraja la pili " Honoris Causa Magna Cum Laude"
Asante dadaSanduku la posta la mtu binafsi linagharimu jumla TShs 54,400 hyo ni gharama imecontain gharama ya ada ya mwaka shs 35400 ufunguo Shs 17000 pamoja na authority card shs 2000 ukifika posta yoyote utajaza fomu then utaambiwa uwe na picha pasport size stamp size yakoymoja na ya mtu wakowwa karibu incase ukipata tatizo yeye ataenda posta na authority card kuchukua mzigo wako
Hvi bado mnaandikianaga barua mpaka karne hii ya 21?
Hivi ukitumiwa percel inakuja online:what:
Inafika., nimepokea parcel mara kadhaa
Hivi ukitumiwa percel inakuja online:what:
Karne hii bado unategemea p.obox? Labda kama unamiliki gazeti
.
Hvi bado mnaandikianaga barua mpaka karne hii ya 21?
Hvi bado mnaandikianaga barua mpaka karne hii ya 21?
Sanduku la posta lina faida nyingi, Sio kupokea barua tu, unaweza hata kuifadhi document za muhimu ambazo unaona zikikaa nyumban au ofisi hazina usalama bro...
Profession offices ndio niniKaka ungekuwa na ofisi binafsi ungejua umuhimu wa slp waajiriwa wengi hawawezi jua umuhimu wa hiyo mambo nazungumzia proffession offices
yani kwa mfano ukahifadhi cheti chako cha chuo au secondary kwenye sanduku la posta,utakua unakipenda kweli hicho cheti?