Mwenyew naomba muongozo huu jamani wana jf
mkuuu nenda posta iliyopo karibu na wewe. uwe ma picha 2 na kitambulisho..Habari wanaJF,
Nipo mbele yenu nahitaji msaada wenu juu ya kufungua sanduku la posta.
Naishi Dar es Salam. Nahitaji kujua kufungua sanduku hili huchukua muda gani? Bei zao zikoje na mahali pa kufungua box hili hapa Kinondoni.
Ahsante
SM-G955F Samsung galaxy S8+
kumbe?Kupata sanduku la posta binafsi ni 30,800, nenda na picha mbili stamp size. Kuna ada ya kila mwaka sijajua ni kiasi gani.
Yapkumbe?
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji56][emoji56][emoji56]
Gharama ni 2800 tu
Hmm mkoa gani?
Hmm mkoa gani?
Aisee! Ndio mana nilishtuka kidogo20800 nilikosea