That's good! If is trueSerikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya shilingi 150,000 kwa kaya yenye watu wasiozidi sita.
Akizungumza kuhusu mpango huo, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema wananchi wasio na uwezo, wakiwemo wazee, watoto, wajawazito na watu wenye ulemavu, watagharamiwa na Serikali.
Aidha, amesema kwa gharama ya 150,000, watu sita walio kwenye kaya moja watajiunga na Bima ya Afya kwa Wote itakayojumuisha mwanachama mchangiaji, mwenza wa mwanachama na wategemezi wanne.
“Wategemezi hao wanne wanaweza kuwa ni mzazi wa mwanachama au mzazi wa mwenza wa mwanachama; mtoto wa mwanachama wa kuzaa, kuasili au wa kambo aliye na umri chini ya miaka 21 au ndugu wa damu wa mwanachama aliye na umri wa chini ya miaka ishirini na moja” amefafanua.
Kila kitu mnapinga tu!!Hapo hamna cha maana ukienda hospital wataendelea kutaka cash tu bima yenye maana hapa TZ ni jubilee tu
Nyie Kila kitu mnapinga,mmbwa nyie hamna jemaha ha kwa hiyo serikali inakwenda kugharamia >65% of the population? hivi hata wanaelewa maana yake? hiyo fedha itatokea wapi na kwa uchumi gani huo huu wa underdeveloped tourism? kwa bajeti ipi? communism never works …
kipimo cha Typhoid kipi?Uhuni mwengine unaenda kuanzishwa na serikali ya muuaji Samia,Mimi natumia NHIF bima na nalipa 500,000+ kwa mwaka,cha kusikitisha bima hii haiwezi hata kulipia kipimo cha typhoid.
Sasa hii ya muuaji Samia Sina uhakika ikiwa itaweza hata kugharamia huduma za malaria
Serikali imetangaza rasmi kuanza utekelezaji wa mpango wa Bima ya Afya kwa Wote katika awamu ya kwanza. Katika awamu hiyo, kitita cha huduma muhimu za afya kitatolewa na skimu za Bima ya Afya kwa gharama ya shilingi 150,000 kwa kaya yenye watu wasiozidi sita.
Akizungumza kuhusu mpango huo, Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa amesema wananchi wasio na uwezo, wakiwemo wazee, watoto, wajawazito na watu wenye ulemavu, watagharamiwa na Serikali.
Aidha, amesema kwa gharama ya 150,000, watu sita walio kwenye kaya moja watajiunga na Bima ya Afya kwa Wote itakayojumuisha mwanachama mchangiaji, mwenza wa mwanachama na wategemezi wanne.
“Wategemezi hao wanne wanaweza kuwa ni mzazi wa mwanachama au mzazi wa mwenza wa mwanachama; mtoto wa mwanachama wa kuzaa, kuasili au wa kambo aliye na umri chini ya miaka 21 au ndugu wa damu wa mwanachama aliye na umri wa chini ya miaka ishirini na moja” amefafanua.
Badala ya hasira ilipaswa usema hii bima ya afya kwa wote ina tofauti gani na ilivyokua NHIF?Nyie Kila kitu mnapinga,mmbwa nyie hamna jema
Wewe ulitakajeKila kitu mnapinga tu!!
Mpigwe shaba wapingajiWewe ulitakaje
Hiyo ni ndoto. Hakuna chochote wataweza kufanikishaAngalau watu wapate hata paracetamol kwa bima
Bima ya afya kwa wote ilishaanza lini kutumika Hadi mpinge? Mnajua ni jinsi gani masikini wanateseka kwa kukosa pesa taslimu za matibabu? Mmmbbwa nyie, acheni kupinga Kila kituBadala ya hasira ilipaswa usema hii bima ya afya kwa wote ina tofauti gani na ilivyokua NHIF?
Kipi kilichofeli kwa nhif alafu kitafanikiwa kwa hii bima ya wote?
Pingapinga kazini,msio na jema,msiopendeka,subirini wakenya wajisajili mkie delea kupiga keleleha ha kwa hiyo serikali inakwenda kugharamia >65% of the population? hivi hata wanaelewa maana yake? hiyo fedha itatokea wapi na kwa uchumi gani huo huu wa underdeveloped tourism? kwa bajeti ipi? communism never works …