Kule Mafia IPO ya $24,000 yaani na huwa IPO Kwa msimu, na IPO fully booked!Wakati bongo kuna hoteli kwa siku $20000
Hiyo 700$ mbona ya kawaida sana
Ova
Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.
Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.
Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.
View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127
Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.
Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.
Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.
View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126
Imefika 1.5 Trillion ambazo mwenezi alituchorea katuni za matumizi yake ubaoni mkasema Rais ana haki ya kujua alivyozitumia, si na huyu ni Rais au mmesahau. A akila ikawa halali, haiwezi kuwa haramu kwa B.Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.
Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.
Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.
View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126
Hiyo Dola 900 ndio kiwango cha kuanzia. Yaani tuseme kama hizi huku mtaani unapoambiwa self ni 50 na singo elfu 10.Imefika 1.5 Trillion ambazo mwenezi alituchorea katuni za matumizi yake ubaoni mkasema Rais ana haki ya kujua alivyozitumia, si na huyu ni Rais au mmesahau. A akila ikawa halali, haiwezi kuwa haramu kwa B.
Mh. mungu alipokula mkasema angalau tunaona kazi inaypfanyika, kwa Mama hamuoni au ulitaka Rais alale hotel ya dollar 100. Hapa tu Dar Serena Hotel room hadi dollar 500, sasa USA unatarajia iwe sh. ngapi? Muwe mnatembea basi mpunguze na ushamba kidogo. Tuongelee habari za Royal Tour ina faida zipi kwa taifa n.k. sio hizi habari za kulala hotel, chakula mara mtatuletea na sabuni alizotumia. This is nothin
Shida iko wapi? Kwani $900 ndo inakutisha? Acha roho ya umaskini!
Lakini huko majuu hizo dollar 700 au 800 kwa Hotel anayofikia Mkuu wa Nchi hizo ni pesa ndogo tu za kawaida sana!! Ila kwetu sisi bongoland tunaona hizo pesa Unaweza ukafungua kiduka chako hapo buguruni au ilala na maisha yakaendelea !! Salaaleeh !!! Kila ndege anaruka na ubawa wake bandugu !!! Maisha ni hivi hivi tu !! Tuchape kazi !Mlitaka akae wapi
Ila dahh
Wamepita nazo km hawana akili nzuri
ukitaka kula lazima na wewe uliwe kidogoMsafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.
Gharama kwa chumba cha kawaida kama ukikaa kwa siku zaidi ya moja ni dola mia saba sawa na shilingi za kitanzania milioni moja na laki saba.
Ila kama ni usiku mmoja tu ni sawa na dola mia tisa ambazo zinakaribia milioni mbili za kitanzania.
Ndugu zetu hao walijaza floor tatu za hoteli hiyo.
View attachment 2227124View attachment 2227125View attachment 2227127View attachment 2227126
Kwa kweli kutesa ni kwa zamu !! Lakini tuiangalie hii vita ya Ukraine inabidi tujifunge mkanda kidogo maana hatujui huko mbele ya safari itakuwaje !! Urusi anasubiri NATO akiweka pua yake kwenye vita anapiga Nyuklia !!!Ugumu wa maisha bongo umeanza leo kwani?
Kutesa kwa zamu Bob
Ova
Binafs naona hadhi ya kulala rais ni sawa labda tusemee idadi ya watu ndo ilikuwa nyingi hata wasiokuwa wa mhimu walienda.Msafara wa Royal Tour ulibahatika kufika New York Marekani katika hoteli ya the Ritza Carlton.