Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani Adam Juma ana zaidi ya miaka 8 kwenye utengenezaji video,video ya Nakaya-Mr Politician katengeneza yeye,ilikuwa kama 2007 hivi kama sikosei,lakini hamna progress mpaka sasa.watz hata wepesi kuridhika sisi mtu kama adam juma alitakiwa awe na vifaa vya kutosha siui faidi anapelkaga wapi maana kwa miaka mitatu au minne kapiga kazi sna
Eti kipaji... Kipaji halisi ni kutoka kufanya muziki wa kurap na kuhamia muziki wa kuimba na kuwafunika wanamuziki wakubwa kama kina banana zorro , cristian bella na wengineo... Na hcho kitu ameweza kukifanya diamond prke yake dunia nzima
uchokozi huo,mi team kiba ila uandaaji wa hii video nimeupenda
Nadhani Adam Juma ana zaidi ya miaka 8 kwenye utengenezaji video,video ya Nakaya-Mr Politician katengeneza yeye,ilikuwa kama 2007 hivi kama sikosei,lakini hamna progress mpaka sasa.
hivi huyo adam juma kuna video katengeneza na ikarushwa mtv au bet? maana miaka 8 si mchezo bado hajifunzi tu? au anatafuta quality bado
Sijui pia kuna mdau hapo juu kasema alianza kutengeneza video since 2003,ila si unajua wabongo wanaridhika