Gharama ya hii video ya mdogo mdogo sijui ilikuwa kiasi gani.

Gharama ya hii video ya mdogo mdogo sijui ilikuwa kiasi gani.

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,420
Reaction score
18,298
Aisee watu wapo wengi humo halafu uandaaji ulikuwa noma.
Watengeneza video za bongo jifunzeni kitu siyo kuweka camera juu ya fito halafu mmemaliza.
 
Last edited by a moderator:
watz hata wepesi kuridhika sisi mtu kama adam juma alitakiwa awe na vifaa vya kutosha siui faidi anapelkaga wapi maana kwa miaka mitatu au minne kapiga kazi sna
 
Hata akitaja gharama watu watasema ameongeza sifuri!!!
mkuu ukiangalia hiyo clip utaona video imegharamiwa,watu wengi mno,location pia ya ukweli
 
watz hata wepesi kuridhika sisi mtu kama adam juma alitakiwa awe na vifaa vya kutosha siui faidi anapelkaga wapi maana kwa miaka mitatu au minne kapiga kazi sna
Nadhani Adam Juma ana zaidi ya miaka 8 kwenye utengenezaji video,video ya Nakaya-Mr Politician katengeneza yeye,ilikuwa kama 2007 hivi kama sikosei,lakini hamna progress mpaka sasa.
 
Huwezi jua dira ya watengeneza video wengine wamisha lidhika hata kwa hivyo vidogo walivyofanya
 
Video zake karibia zote ni kali kutokana maandalizi,watengenezaji na gharama ni kubwa,kuna watu wanatuletea habari za vipaji we unakipaji kuliko OTTU ya marehemu Moshi William au DDC ya Hassan Bichuka????? mfundisheni apige kazi sio mnazomea kama watu waliokosa hoja
 
Eti kipaji... Kipaji halisi ni kutoka kufanya muziki wa kurap na kuhamia muziki wa kuimba na kuwafunika wanamuziki wakubwa kama kina banana zorro , cristian bella na wengineo... Na hcho kitu ameweza kukifanya diamond prke yake dunia nzima
 
Mahaba yamekufanya umekua kama zezeta.
 
Adam Juma ni wa kitambo sana aiseee tangu 2003 mwishoni maana nyimbo ya noorah ice cream iliyosumbuaga sana aliitengeneza yeye kwaio jamaa ana miaka kama 12 hivi lakini hajafanya mabadiliko makubwa sana internationally ingawa mchango wake locally ni mkubwa hivyo hatuwezi kumbeza kibongo bongo maana amesharidhika
 
Nadhani Adam Juma ana zaidi ya miaka 8 kwenye utengenezaji video,video ya Nakaya-Mr Politician katengeneza yeye,ilikuwa kama 2007 hivi kama sikosei,lakini hamna progress mpaka sasa.

hivi huyo adam juma kuna video katengeneza na ikarushwa mtv au bet? maana miaka 8 si mchezo bado hajifunzi tu? au anatafuta quality bado
 
hivi huyo adam juma kuna video katengeneza na ikarushwa mtv au bet? maana miaka 8 si mchezo bado hajifunzi tu? au anatafuta quality bado

Sijui pia kuna mdau hapo juu kasema alianza kutengeneza video since 2003,ila si unajua wabongo wanaridhika
 
Back
Top Bottom