Gharama ya kuanzisha mashine ya kukamua Alizeti

Gharama ya kuanzisha mashine ya kukamua Alizeti

santos mtn

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
348
Reaction score
369
habarini ndugu zangu,

Naomba kufaham garama halisi endapo mtu anataka kuanzisha kiwanda kidogo kwa ajir ya kukamua mafuta ya alizeti hususan garama ya mashine zote zinazohitajika
 
habarini ndugu zangu,

Naomba kufaham garama halisi endapo mtu anataka kuanzisha kiwanda kidogo kwa ajir ya kukamua mafuta ya alizeti hususan garama ya mashine zote zinazohitajika
sio chini ya milion tano
 
Wakuu nisaidieni kama kuna mtu ana uzoefu wa kuanzisha kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti ningeomba kujua yafuatayo.
Bei ya mashine ya kukamua angalau 500kg/hr
Bei ya madumu 5L
Leseni za halmashauri na tbs
Muda mafuta yanaweza kukaa bila kuharibika.
Makadirio ya faida ya gunia moja.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukihitaji mashine ya kukamulia alizeti nijulishe mkuu
1413a8921e489620ed9c3f6aab20d521.jpg
 
naomba msaada nahitaji kuanza biashara ya alizeti ila sifahamu masoko kwa anayeyajua naomba anisaidie
 
Habari za mchana JF members.

Naomba msaada wa kupata mashine ya kukamua mafuta ya alizeti.
Napenda kujua mambo yafuatayo;
1. Wapi nitaipata,
2. Gharama yake,
3. Uwezo wake wa kufanya kazi (production ability per day)
4. Gharama za uendeshaji.
Nitashukuru kwa msaada wa mawazo yenu,

Mchana mwema.
 
Back
Top Bottom