Gharama ya kuanzisha mashine ya kukamua Alizeti

Gharama ya kuanzisha mashine ya kukamua Alizeti

KAMA UKO TANZANIA WAONE SIDO WATAKUSAIDIA SAANA ILA WAAMBIE UNATAKA FULL PACKAGE INAYOFANYA DOUBLE REFINED (UKIWA UNATOA MAFUTA YA NAMNA HII UTA ENJOY SAAANA BIASHARA YAKO) KILA LA KHERI MKUU
 
KAMA UKO TANZANIA WAONE SIDO WATAKUSAIDIA SAANA ILA WAAMBIE UNATAKA FULL PACKAGE INAYOFANYA DOUBLE REFINED (UKIWA UNATOA MAFUTA YA NAMNA HII UTA ENJOY SAAANA BIASHARA YAKO) KILA LA KHERI MKUU
Asante sana mkuu, nitafanya hivyo
 
Huu Uzi ulishaisha? Nahitaj sana machine ya kukamulia Alizet.
 
Machine ya kukamua alzet full package ni being gani kuanzia processing hadi refining?
 
Wachangiaji naona as if nao hawajui - ikiwa mtu unafahamu hebu toa elimu kwa kuweka descriptive ideas kiasi kwamba mtu mwingine akisoma article yako anaweza kupata new idea.
 
Watanzania wenzangu kwa mtu mwenye akili hii ndio biashara ya sasa Tanzania

JPM kapiga ban mafuta kutoka nje ya nchi kwa statistics ndogo tu zaidi ya 80% ya mafuta yote ya kula yalikua ya natoka nje ya nchi, ukitoa mafuta ya petrol, bidhaa ya mafuta ya kula ndio ilikua bidhaa number mbili kuagizwa kwa wingi nchini

Tanzania ndio nchi ya pili afrika baada ya South Africa kulima alizeti kwa wingi Africa

Kwa hiyo hapo mwenye akili ya kibiashara atakua amepata picture kuhusu hii biashara kwa sasa
 
Ni kweli tupu kabisa aiseeeee
 
Ni kweli tupu kabisa aiseeeee
Iwe ni uwekezaji wa kulima alizeti, / (palm)
Iwe ni uwekezaji wa vifungashio vyake
Au ni uwekezaji wa kuprocess alizeti
Bado hii biashara haitakutupa kabisa
Na ni biashara number one recommended kwa profits gain guaranteed kwa sasa
 
Je Kuna aliyefanikiwa kufungua kiwanda cha kukamua alizeti?
 
Wakuu nisaidieni kama kuna mtu ana uzoefu wa kuanzisha kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti ningeomba kujua yafuatayo.
Bei ya mashine ya kukamua angalau 500kg/hr
Bei ya madumu 5L
Leseni za halmashauri na tbs
Muda mafuta yanaweza kukaa bila kuharibika.
Makadirio ya faida ya gunia moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ushauri kidogo kabla zijakutafutia data za maswali uliyouliza.Alizeti ni zao la msimu na bado halijalimwa kwa wingi kwa hivyo kama unaaamua kuingia katika biasahra hii ni lazima uwe na mtaji mkubwa kiasi ambacho utakuwa na uwezo wa kununua alizeti kutoka shemu nyingine za nchi.Kama huna mtaji huo biashara hii ni ya msimu mfupi mno kwa walio na mashine ndogo.Ukiweza biashara hii ichanganye na kukoboa nafaka kama mahindi,mpunga na kusaga inaweza kukusaidia zaidi.
 
Watanzania tupeane uzoefu wa kibiashara hadharani ndio tutafika malengo na maendeleo kwa mda mfupi sana..... Tusiwe wachoyo!! Mwenye uzoefu wa hizo mashine atupe hint kamili
Gharama za kuanzisha
Upatikanaji wa malighafi
Masoko
Na faida zake
NAWASILISHA WAKUU
 
Back
Top Bottom