Mkiu Kwetu
JF-Expert Member
- Aug 19, 2017
- 261
- 278
Nasubiri mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mkuu, nitafanya hivyoKAMA UKO TANZANIA WAONE SIDO WATAKUSAIDIA SAANA ILA WAAMBIE UNATAKA FULL PACKAGE INAYOFANYA DOUBLE REFINED (UKIWA UNATOA MAFUTA YA NAMNA HII UTA ENJOY SAAANA BIASHARA YAKO) KILA LA KHERI MKUU
Ni kweli tupu kabisa aiseeeeeWatanzania wenzangu kwa mtu mwenye akili hii ndio biashara ya sasa Tanzania
JPM kapiga ban mafuta kutoka nje ya nchi kwa statistics ndogo tu zaidi ya 80% ya mafuta yote ya kula yalikua ya natoka nje ya nchi, ukitoa mafuta ya petrol, bidhaa ya mafuta ya kula ndio ilikua bidhaa number mbili kuagizwa kwa wingi nchini
Tanzania ndio nchi ya pili afrika baada ya South Africa kulima alizeti kwa wingi Africa
Kwa hiyo hapo mwenye akili ya kibiashara atakua amepata picture kuhusu hii biashara kwa sasa
Iwe ni uwekezaji wa kulima alizeti, / (palm)Ni kweli tupu kabisa aiseeeee
Je Kuna aliyefanikiwa kufungua kiwanda cha kukamua alizeti?Iwe ni uwekezaji wa kulima alizeti, / (palm)
Iwe ni uwekezaji wa vifungashio vyake
Au ni uwekezaji wa kuprocess alizeti
Bado hii biashara haitakutupa kabisa
Na ni biashara number one recommended kwa profits gain guaranteed kwa sasa
Nina ushauri kidogo kabla zijakutafutia data za maswali uliyouliza.Alizeti ni zao la msimu na bado halijalimwa kwa wingi kwa hivyo kama unaaamua kuingia katika biasahra hii ni lazima uwe na mtaji mkubwa kiasi ambacho utakuwa na uwezo wa kununua alizeti kutoka shemu nyingine za nchi.Kama huna mtaji huo biashara hii ni ya msimu mfupi mno kwa walio na mashine ndogo.Ukiweza biashara hii ichanganye na kukoboa nafaka kama mahindi,mpunga na kusaga inaweza kukusaidia zaidi.Wakuu nisaidieni kama kuna mtu ana uzoefu wa kuanzisha kiwanda kidogo cha kukamua mafuta ya alizeti ningeomba kujua yafuatayo.
Bei ya mashine ya kukamua angalau 500kg/hr
Bei ya madumu 5L
Leseni za halmashauri na tbs
Muda mafuta yanaweza kukaa bila kuharibika.
Makadirio ya faida ya gunia moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
soma post#35Je Kuna aliyefanikiwa kufungua kiwanda cha kukamua alizeti?