Gharama ya kuanzisha mashine ya kukamua Alizeti

habarini ndugu zangu,

Naomba kufaham garama halisi endapo mtu anataka kuanzisha kiwanda kidogo kwa ajir ya kukamua mafuta ya alizeti hususan garama ya mashine zote zinazohitajika
Mkuu inategemea na ww unataka kukamua alizeti kiasi gani kwa siku. Lakini mwa sababu umeomba tu shauri nitakupa gharama za kiwanda cha size ya kati ambayo inatumia mashine ya kukamua no 95.

Aina hii ya mashine ukipaya ya kichina bei ni 5.5 mil kwa dar.
Mashine hii itahitaji uwe pia na filter yake ambayo bei ni 3.5mil kwa dar.
Kama utataka kurefine mafuta yawe kama ya sunblet kwa mfano itabidi uwe na mini refinery ambayo itakughramu 9.5mil

Kwa hiyo hapo utaona utahitaji 5.5+3.5+9.5= 18.5mil

Lakini refinery siyo lazima uwe nayo unapoaanza kwa hiyo kwa kuanza utahitaji hizo mbili ya kukamua na ku filter ambazo bei yake jumla ni 9mil
Hizo bei ni bila gharama za nyuma ya kuzifunga pamojana na material ya kuanzia.

Kama unahitaji uelewa zaidi unaweza kuuliza

Nimeona post ni ya zamani ila jibu langu linaweza saidia wengine
 
B
Ukihitaji mashine ya kukamulia alizeti nijulishe mkuu
1413a8921e489620ed9c3f6aab20d521.jpg
Bei gani Boss?
 
Mkuu inategemea na ww unataka kukamua alizeti kiasi gani kwa siku. Lakini mwa sababu umeomba tu shauri nitakupa gharama za kiwanda cha size ya kati ambayo inatumia mashine ya kukamua no 95.

Aina hii ya mashine ukipaya ya kichina bei ni 5.5 mil kwa dar.
Mashine hii itahitaji uwe pia na filter yake ambayo bei ni 3.5mil kwa dar.
Kama utataka kurefine mafuta yawe kama ya sunblet kwa mfano itabidi uwe na mini refinery ambayo itakughramu 9.5mil

Kwa hiyo hapo utaona utahitaji 5.5+3.5+9.5= 18.5mil

Lakini refinery siyo lazima uwe nayo unapoaanza kwa hiyo kwa kuanza utahitaji hizo mbili ya kukamua na ku filter ambazo bei yake jumla ni 9mil
Hizo bei ni bila gharama za nyuma ya kuzifunga pamojana na material ya kuanzia.

Kama unahitaji uelewa zaidi unaweza kuuliza

Nimeona post ni ya zamani ila jibu langu linaweza saidia wengine
Habari ndugu, Ivi kati ya mashine ya China,india na sido ipi nzuri kwa kukamua mafuta
 
Mkuu inategemea na ww unataka kukamua alizeti kiasi gani kwa siku. Lakini mwa sababu umeomba tu shauri nitakupa gharama za kiwanda cha size ya kati ambayo inatumia mashine ya kukamua no 95.

Aina hii ya mashine ukipaya ya kichina bei ni 5.5 mil kwa dar.
Mashine hii itahitaji uwe pia na filter yake ambayo bei ni 3.5mil kwa dar.
Kama utataka kurefine mafuta yawe kama ya sunblet kwa mfano itabidi uwe na mini refinery ambayo itakughramu 9.5mil

Kwa hiyo hapo utaona utahitaji 5.5+3.5+9.5= 18.5mil

Lakini refinery siyo lazima uwe nayo unapoaanza kwa hiyo kwa kuanza utahitaji hizo mbili ya kukamua na ku filter ambazo bei yake jumla ni 9mil
Hizo bei ni bila gharama za nyuma ya kuzifunga pamojana na material ya kuanzia.

Kama unahitaji uelewa zaidi unaweza kuuliza

Nimeona post ni ya zamani ila jibu langu linaweza saidia wengine
Mkuu kinu cha kukoboa mpunga n30 kwa dar kinashingapi
 
Back
Top Bottom