santos mtn
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 348
- 369
sio chini ya milion tanohabarini ndugu zangu,
Naomba kufaham garama halisi endapo mtu anataka kuanzisha kiwanda kidogo kwa ajir ya kukamua mafuta ya alizeti hususan garama ya mashine zote zinazohitajika
Watembelee hawa jamaa wana mashine mbali mbali, nilikua naongea nao muda mfui uliopita baada ya kuona post yao Facebook, tena wanakopesha.habarini ndugu zangu,
Naomba kufaham garama halisi endapo mtu anataka kuanzisha kiwanda kidogo kwa ajir ya kukamua mafuta ya alizeti hususan garama ya mashine zote zinazohitajika
shukran nduguWatembelee hawa jamaa wana mashine mbali mbali, nilikua naongea nao muda mfui uliopita baada ya kuona post yao Facebook, tena wanakopesha.
PRETTY DEVELOPMENT FOR POVERTY REDUCTION (PDPR): MIKOPO YA MASHINE
ulitakiwa umjibu bei na kumshauri pia... ili ashawishike kukutafutaUkihitaji mashine ya kukamulia alizeti nijulishe mkuu
Bei Ganii MkuuUkihitaji mashine ya kukamulia alizeti nijulishe mkuu
Mil 3 bosi
Ina uwezo wa kukamua Mafuta lita ngapi per hr na kuna zingine kubwa zaidi ya hii bei zake zikojeUkihitaji mashine ya kukamulia alizeti nijulishe mkuu
uwezo wake?Ukihitaji mashine ya kukamulia alizeti nijulishe mkuu
Toa contact tuwasiliane...iyo inahitajika mkubwaUkihitaji mashine ya kukamulia alizeti nijulishe mkuu