Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Gharama za ufyatuaji zipoje kama simenti nitanunua mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo Cement tu ndio utanunua wewe mwenyewe ila Mchanga utanunuliwa na mwengine?Gharama za ufyatuaji zipoje kama simenti nitanunua mwenyewe.
Ni rahisi sana ukiamuaGharama za ufyatuaji zipoje kama simenti nitanunua mwenyewe.
kama unajua gharama wew ziweke apa kwa namna yyte unayoona inafaa kazi kufanyikaKwa hiyo Cement tu ndio utanunua wewe mwenyewe ila Mchanga utanunuliwa na mwengine?
Ila we jamaa ni mvivu, unataka kufahamu kitu kwa undani ila namna ya kuuliza huwezi, sasa utasaidikaje?Gharama za ufyatuaji zipoje kama simenti nitanunua mwenyewe.
Akheri hata umemjua, halaf ukimuelewesha haelewi.Ila we jamaa ni mvivu, unataka kufahamu kitu kwa undani ila namna ya kuuliza huwezi, sasa utasaidikaje?
Mtambo huu!Akheri hata umemjua, halaf ukimuelewesha haelewi.
asante kiongozi, upo dar au mkoa?Nikujibu kwa kifupi:
Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2.
Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140.
Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/=
Kwa hiyo Mende moja hadi iishe itakula cement 140/2 = mifuko 70Nikujibu kwa kifupi:
Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2.
Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140.
Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/=
Ubarikiwe sana kiongozi kwa mchanganuo huu mujarabKwa hiyo Mende moja hadi iishe itakula cement 140/2 = mifuko 70
70 x 18,000
= 1,260,000
Fundi atapiga mende Kwa 140 x 5,000
= 700,000/-
Na mende yenyewe utainunua kwa 350,000 mpaka 450,000/- labda.
Gharama za jumla ni =
1,260,000+700,000+450,000
=2,410,000/-
Hizi gharama zote ni ili kupata Sqm 140, hivyo average ni 2,410,000/140
=17,214/sqm
Lakini ukiamua kununua Kwa vilivyofyatuliwa unaweza kupata mpaka kwa 15,000 Kwa sqm 1.
Hizi ni zipi kiongozi? uimara wake ukoje?Ukitaka the cheapest tengeneza zile plastic paving blocks. Saruji kidogo mchanga kiasi na plastic basi.
Boss,Nikujibu kwa kifupi:
Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2.
Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140.
Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/=
Nenda YouTube andika plastic paving blocksHizi ni zipi kiongozi? uimara wake ukoje?
na zinapatikana wapi?
Je unaweza kuweka akaunti ya Instagram, YouTube...inayoonesha izo kazi
sawaNenda YouTube andika plastic paving blocks
Mfuko 1 unafyatuliwa kwa sh 10,000 unatoa sq mt 2.Boss,
Ufundi wa 5,000/- Kwa 1 SQM ni wa kupanga labda, sio kufyatua. Kufyatua ni TZS 9,000 mpaka 10,000 kwa SQM moja
Mende 1 inazalisha mifuko 70 = sq mt 140.Kwa hiyo Mende moja hadi iishe itakula cement 140/2 = mifuko 70
70 x 18,000
= 1,260,000
Fundi atapiga mende Kwa 140 x 5,000
= 700,000/-
Na mende yenyewe utainunua kwa 350,000 mpaka 450,000/- labda.
Gharama za jumla ni =
1,260,000+700,000+450,000
=2,410,000/-
Hizi gharama zote ni ili kupata Sqm 140, hivyo average ni 2,410,000/140
=17,214/sqm
Lakini ukiamua kununua Kwa vilivyofyatuliwa unaweza kupata mpaka kwa 15,000 Kwa sqm 1.