Gharama ya kufyatua paving blocks zipoje?

Kwa hiyo Cement tu ndio utanunua wewe mwenyewe ila Mchanga utanunuliwa na mwengine?
kama unajua gharama wew ziweke apa kwa namna yyte unayoona inafaa kazi kufanyika
 
Nikujibu kwa kifupi:

Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2.
Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140.
Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/=
 
Kwa hiyo Mende moja hadi iishe itakula cement 140/2 = mifuko 70
70 x 18,000
= 1,260,000

Fundi atapiga mende Kwa 140 x 5,000
= 700,000/-

Na mende yenyewe utainunua kwa 350,000 mpaka 450,000/- labda.

Gharama za jumla ni =
1,260,000+700,000+450,000
=2,410,000/-

Hizi gharama zote ni ili kupata Sqm 140, hivyo average ni 2,410,000/140
=17,214/sqm

Lakini ukiamua kununua Kwa vilivyofyatuliwa unaweza kupata mpaka kwa 15,000 Kwa sqm 1.
 
Ukitaka the cheapest tengeneza zile plastic paving blocks. Saruji kidogo mchanga kiasi na plastic basi.
 
Ubarikiwe sana kiongozi kwa mchanganuo huu mujarab
 
Ukitaka the cheapest tengeneza zile plastic paving blocks. Saruji kidogo mchanga kiasi na plastic basi.
Hizi ni zipi kiongozi? uimara wake ukoje?

na zinapatikana wapi?

Je unaweza kuweka akaunti ya Instagram, YouTube...inayoonesha izo kazi
 
Nikujibu kwa kifupi:

Mfuko mmoja wa cement unazalisha paving sq mt 2.
Mchanga scania 1 (mende) inazalisha sq mt 140.
Fundi sq mt 1 anafanya sh 5,000/=
Boss,
Ufundi wa 5,000/- Kwa 1 SQM ni wa kupanga labda, sio kufyatua. Kufyatua ni TZS 9,000 mpaka 10,000 kwa SQM moja
 
Mfuko 1 unafyatuliwa kwa sh 10,000 unatoa sq mt 2.
Bei inapungua had 8,000 kutokana na mazingira.
 
Kwa hiyo Mende moja hadi iishe itakula cement 140/2 = mifuko 70
70 x 18,000
= 1,260,000

Fundi atapiga mende Kwa 140 x 5,000
= 700,000/-

Na mende yenyewe utainunua kwa 350,000 mpaka 450,000/- labda.

Gharama za jumla ni =
1,260,000+700,000+450,000
=2,410,000/-

Hizi gharama zote ni ili kupata Sqm 140, hivyo average ni 2,410,000/140
=17,214/sqm

Lakini ukiamua kununua Kwa vilivyofyatuliwa unaweza kupata mpaka kwa 15,000 Kwa sqm 1.
Mende 1 inazalisha mifuko 70 = sq mt 140.
Ngarama haiwezi kuzidi 18,000 kwa sq mt piga hesabu vizuri.
 
Back
Top Bottom