Gharama ya kujenga Swimming pool

Dah!! Aisee, Zanzibar Spices tupitie contacts za hao wajenzi mkuu
 
Zanzibar spice -Landscape designer kazi yake inapendeza kweli. Simple and graceful. Tupe Jina la hoteli na ilipo Zanzibar.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kampuni inaitwa Pooldoctor, hao jamaa ni wataaramu wa swimming pool, na wanahudumia swimming pool nyingi sana hapo dar za majumbani kwa waheshimiwa pamoja na mahoteli maarufu. Pia ni wabia wa Nabaki Afrika, hata ukienda duka lolote la Nabaki, utapata wasifu wao na pamoja na mawasiliano. Hapa nina namba ya mkurugenzi mmoja wapo anaitwa Raymond +255767438444
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…