Gharama ya kukodi helicopter Dar to Bukoba vijijini

Gharama ya kukodi helicopter Dar to Bukoba vijijini

Choper mpaka BK? Kwa nini usitumie Charter plane za pale Tanzanair, Coastal Travel na makampuni ni mengi tu pale airport. Charges ni kati ya 3.5 - 4mil
 
Choper mpaka BK? Kwa nini usitumie Charter plane za pale Tanzanair, Coastal Travel na makampuni ni mengi tu pale airport. Charges ni kati ya 3.5 - 4mil
lengo langu ni kwamba choper inifikishe nyumbani kabisa..............plane za coastal travel zinaishia airpor tu ambako ni bukoba mjini.............mimi kwetu ni vijijini
 
sio kuosha nataka kwenda na kufika haraka then nirud siku hiyohiyo...........................

Huna huo uwezo mkuu waza vitu vingine vya kufanya!!............Sifa za kijinga hizo!
 
Back
Top Bottom