rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 129
Heshima yenu wakuu,
Naomba kujua gharama za kukodi helicopter from dar to Bukoba na ni makampuni gani yanatoa hiyo huduma hapa Tanzania? Mzigo unaoruhusiwa kuubeba kwenye helicopter huwa ni kiasi gani?
Natanguliza shurani.
Waitu banyegere..