rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 387
- 129
thanks kwa kunijulisha............. karibuni wengine wadau mnipe datumUnanalipa kwa saa angani 3mil tz
kwani jf ni offline?search online,
sio kuosha nataka kwenda na kufika haraka then nirud siku hiyohiyo...........................Mhaya anataka kwenda kuosha kwao.
nimechoka kusafiri siku mbili nipo njiani...........then i think airway is the best solutionhahaa wahaya noma sana.
nimeanza na jf kwanza then mbowe.................muulize mmbowe
search online,
Ha ha ha!!kwani jf ni offline?
thanks mkuu kwa kunijulishabei iliyoko sasa ni 800,000 kwa maili 30
Madhara ya kukurupuka ndio hayo.kwani jf ni offline?
lengo langu ni kwamba choper inifikishe nyumbani kabisa..............plane za coastal travel zinaishia airpor tu ambako ni bukoba mjini.............mimi kwetu ni vijijiniChoper mpaka BK? Kwa nini usitumie Charter plane za pale Tanzanair, Coastal Travel na makampuni ni mengi tu pale airport. Charges ni kati ya 3.5 - 4mil
sio kuosha nataka kwenda na kufika haraka then nirud siku hiyohiyo...........................
hasa we kinachokuuma ni nini.......kama ni sifa za kijinga si nasifiwa mieHuna huo uwezo mkuu waza vitu vingine vya kufanya!!............Sifa za kijinga hizo!