Kama vimepimwa ukiweka tofali au msingi utakuta wamekuwekea ubomoeBasi,sina shida na hivyo vibali..ambapo hizo hela wanaenda kuzila tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama vimepimwa ukiweka tofali au msingi utakuta wamekuwekea ubomoeBasi,sina shida na hivyo vibali..ambapo hizo hela wanaenda kuzila tu
Wewe si umejengea masaki kule karibia na sea Cliff bei haziwezi kiwa sawaOH basi inategemea na sehemu na sehemu
Plot yng imepimwa na nina HATI, nimejenga Servant Quater ya 3 Rooms, pembeni kuna Tofali 3500 zinasubiria kazi... huu mwaka wa 3... Jamaa hawajaja!Kama vimepimwa ukiweka tofali au msingi utakuta wamekuwekea ubomoe
JEsus!Wewe si umejengea masaki kule karibia na sea Cliff bei haziwezi kiwa sawa
Hata ukifika level ya kuvuta maji lazima waulize building permitKama vimepimwa ukiweka tofali au msingi utakuta wamekuwekea ubomoe
Hapana...ila omba usidakwe wakati unajenga, hata 2m zinakutokaInawezekana ukamaliza mjengo,baadae wakaja kukupiga fine ya kutokuwa na kibali?
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ah sasa orgy tukipiga kwenye kijumba changu sii ndio raha zaidi mwanawane. Hela ya hotel nyingi mzeya. Nitakapamba fresh uwe unakuja na mzee wa kupambania
tukaribishe lunch.. tupigwe na upepo wa bahari 😊😊... tuje mie , mzabzab na Mzee wa kupambania peke yetuJEsus!
Mkuu hyo milion mbili ni kwaajili ya kibali tu au ni pesa ya ujenzi kabisa??Habari wakuu hatimaje nimedundukkza million mbili, naomba nijue gharama ya kibali cha ujenzi na process zake
Huku kwetu ukienda halmashauri ni laki 6, ukienda ofisi ya s/mtaa ni laki 3, lakin kam hauna ukienda 'kuwaona' tu pia inatosha, wanakuruhusu. Na vinatolewa siku hiyohiyo bila usumbufu wala foleniHivi hiko kibali inafika laki???
Sijawahi kuchukuaga kibali,huwa najenga tu
Mnafanya pia na kazi ya kufuatilia building permitKaribu tukuandalie Raman kwa bei nafuu call or WhatsApp 0757735884 au tembelea ukurasa wetu.Instagram highland _decor_solutionView attachment 2664302
Nimechekatukaribishe lunch.. tupigwe na upepo wa bahari 😊😊... tuje mie , mzabzab na Mzee wa kupambania peke yetu
😅😅😅 karibisha wagenii.. tubadirshana na mawazoo. tule nyama fresh.. tuombe pamojaaa alafu kila mmoja atashinda mechi zakeNimecheka
Mnafanya pia na kazi ya kufuatilia building permit
Ah hilo halina shida cha msingi mie nipate nachotaka. Gharama ya ramani + kufuatilia kibali ikojeNdio mkuu Ila hapo shart mchoro utoke kwetu
Tuje kula mema ya nchi na Mrs Thabo Bester 😊tukaribishe lunch.. tupigwe na upepo wa bahari 😊😊... tuje mie , mzabzab na Mzee wa kupambania peke yetu
kamaaa kauwaaa mzeee 😅😅😅Tuje kula mema ya nchi na Mrs Thabo Bester 😊
Ah hilo halina shida cha msingi mie nipate nachotaka. Gharama ya ramani + kufuatilia kibali ikoje