Gharama ya kupata kibali cha ujenzi

Gharama ya kupata kibali cha ujenzi

Nyie mbona sijaelewa inamaana ukijenga lazima uwe na kibali ni miji,halmashauri tu au hata vijijini ni lazima uwe na kibali?
 
Vijijin sio lazima kibali,mjini ukijifanya mjanja asubuh utakutana na x bomoa hasa hivi viwanja vilivyopimwa
Nyie mbona sijaelewa inamaana ukijenga lazima uwe na kibali ni miji,halmashauri tu au hata vijijini ni lazima uwe na kibali?
 
Habari wakuu hatimaje nimedundukkza million mbili, naomba nijue gharama ya kibali cha ujenzi na process zake
Kumbe 2m inatosha kujenga nyumba na watu hamsemi na kibali kabisa kina taftwa ....
 
Ukitaka mambo yawe mengi na mpunga utoe mwingi nenda halmashauri
tatizo ni kutaka shortcut ambayo huja kuwa longcut, fika halmashauri ya mji/wilaya au manispaa ukiwa na fomu zilizojazwa na majirani pamoja kuodhinishwa na viongozi wa mtaa/kijiji na kata (mwenyekiti, mtendaji wa mtaa/kijiji, na mtendaji kata) hapo utapewa control number ukilipia inabaki kupewa kibali cha ujenzi tu.
 
Kiongozi kwa ujengani wetu nyumba inajengwa kwa zaidi ya mwaka mmoja. Je icho kibali kina expire baada ya mda gani?
Asante
 
tatizo ni kutaka shortcut ambayo huja kuwa longcut, fika halmashauri ya mji/wilaya au manispaa ukiwa na fomu zilizojazwa na majirani pamoja kuodhinishwa na viongozi wa mtaa/kijiji na kata (mwenyekiti, mtendaji wa mtaa/kijiji, na mtendaji kata) hapo utapewa control number ukilipia inabaki kupewa kibali cha ujenzi tu.
Hatukatai ni uamuzi wa mtu
 
Back
Top Bottom