Gharama ya kupeleka marais wawili na misafara yao Chato haijazidi shule wanayoenda kuzindua?

Hapo ni nyumbani kwa JPM, mmoja wa mashujaa wa afrika, mzalendo wa kweli. Aliyesema mtanikumbuka kwa mazuri na kweli tunamkumbuka kwa mengi mazuri.
Katili na muuaje wa raia yeyote aliyemkosoa. Thanks God kwa kuingilia kati
 


Mawazo madogo hii ni kuonyesha urafiki zaidi sio gharama.
 
Kuna wakati sio lazima kila kitu umuhimu wake upimwe kwa fedha. Mafanikio sio kupata au kuokoa fedha pekee yake, ndio maana hata vijana wanasema 'kutengeneza connection' ambacho ndio kinafanyika hapa. Kuimarisha urafiki ni mwanzo wa kupata fursa za kutengeneza fedhaa nyingi zaidi kuliko hizo za kupeleka msafara chato

Kwa mantiki yako, basi Rais asiwe anaenda popote ili aokoe fedha tutumie kwenye mambo mengine. Yeye awe anakaa tu Ikulu na kuongoza nchi kutokea Magogoni au Chamwino.
 

 
Ktk maisha tafuta connection alaf kua karibu nayo muda wote. Kutafuta na kumaintain connection ni jambo gumu, linahitaji muda na pesa tena wkt mwengine pesa ndefu sana. Kilichofanywa na maraisi wetu mimi naona sawa kabisa kwa sbb kubwa mbili:
1. faida na muda itakayodumu hiyo shule na amini itakua kubwa klko pesa iliyotumiwa na hao maraisi tatizo hatuwezi kuibadilisha kwenye pesa lkn fikiria idadi ya wanafunzi watakao soma hapo kwa maisha yote ya hiyo shule.
3.kibiashara TZ tunaihitaji sana uganda note tunapitisha tani 138,000 tu za mzigo wa uganda kati ya mamilioni ya tani yanayopita bandari nyinginezo. Hata ningekua mimi ningeuza mbuzi kwa kesi ya kuku huku nikijua baadae itanilipa ng'ombe sio mbuzi tena, ndivyo dunia ilivyo. Kumbuka jirani yetu Kenya ni aggressive kwelikweli tusipo pambana kiakilli tutafeli uganda wkt sgr yetu tumeilekezea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…