johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Kama huijui dunia unaweza kudhani Wanasiasa wanafaidi sana wao na familia zao
Hakuna kazi yenye risk kubwa kama ya Siasa ikifuatiwa na Mitume na Manabii wa zama hizi za mwisho wa dunia na namba 3 ni Waganga wa kienyeji hawa akina Mshana jr
Wanasiasa ni watu wa kuwaombea sana tena mno
Mlale unono 😁🇹🇿