Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

Sahihi kbs
 
Mchanganuo wako haujakaa kitaalamu.
Kwenye single phase hatutumii 10mm bali tunatumia 6mm pia sijaona junction boxes, square boxes na conduits.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] juu nimeona laki 8 nashuka naona million 1.5 nashuka naona million 2 nashuka tena nakutana na million 3

[emoji28][emoji28]wanatuchanganya sana
 
Kuna utofauti wa ukubwa wa nyumba,
Kuna utofauti wa bei za vifaa kati ya duka na duka,
Kuna utofauti wa bei kati ya manufacturer mmoja na mwengine
Na kuna kupigwa bei kubwa sababutu umeendakichwakichwa,
Vyote hivi vinachangia kuleta utofauti wa gharama za vifaa
 
Wastani chumba nne unatakiwa kuandaa pesa isiopungua lakinane na nusu hapo nyumba itakua imetimia , angalizo hela hiyo haitahusika na mfumo wa Ac, laki tatu na nusu au tatu ni ya fundi , laki tano ni ya vifaa wasiliana nami 0652670595/0773120431
Duh, kweli hujajenga bado Mkuu. Hiyo laki 8 hata waya tu haitoshi Boss. Wire wa 2.5 bandle moja tu ni kuanzia 86,000 hadi 95,000.

Kama hujachimbia hata bomba utahitajika kuandaa minimum of 3m and maximum of 4m. Wire ziko juu sana. See attached
 
Attachments

  • Screenshot_20230507-221234_CamScanner.jpg
    98.3 KB · Views: 72
C
Conduit pipe mbona hujaweka?
 
Duh, kweli hujajenga bado Mkuu. Hiyo laki 8 hata waya tu haitoshi Boss. Wire wa 2.5 bandle moja tu ni kuanzia 86,000 hadi 95,000.

Kama hujachimbia hata bomba utahitajika kuandaa minimum of 3m and maximum of 4m. Wire ziko juu sana. See attached
 
Attachments

  • Screenshot_20230507-222238_CamScanner.jpg
    82.6 KB · Views: 79
Attachment hizo
 
Attachments

  • Screenshot_20230507-222238_CamScanner.jpg
    82.6 KB · Views: 64
  • Screenshot_20230507-221234_CamScanner.jpg
    98.3 KB · Views: 73
Hizi ni hesabu za kilokole kabisa
Nitakutafuta
Nimefanya wiring ya room mbili kwa umeme wa kugongea
Najipanga nije nifanye nyumba nzima
2bedroom, corridor, sebule, jiko, store, dining, public toilet na bedroom moja ni master
 
Mchanganuo wako haujakaa kitaalamu.
Kwenye single phase hatutumii 10mm bali tunatumia 6mm pia sijaona junction boxes, square boxes na conduits.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 6mm iyo sio nyumba bali labda kiwe kibanda.kwenye nyumba ni 10 mm mpaka 16mm.

Umeme ni kama maji.bomba likiwa jembamba basi nguvu kubwa itakuwa inatumika kupitisha kiwango kikubwa cha maji.ila bomba likiwa kubwa basi nguvu ndogo itatumika kupitisha kiwango kikubwa cha maji kwa sababu ukinzani ni mdogo.

Kwa iyo msukumo ukiwa mkubwa basi tegemea unit kwenda nyingi hapo.kwa maana iyo matumizi yakiwa makubwa basi unashangaa unit zinaenda sana kupita maelezo.
 
Hizi ni hesabu za kilokole kabisa
Nitakutafuta
Nimefanya wiring ya room mbili kwa umeme wa kugongea
Najipanga nije nifanye nyumba nzima
2bedroom, corridor, sebule, jiko, store, dining, public toilet na bedroom moja ni master
Karibu mkuu[emoji120]
 
Labor Charge ya kuchimbia Pipes na pia kufanya wiring ni kiasi gani?
 
Nitasimamia hapohapo kwenye 6mm kwasababu ndio niliyoutumia kwenye nyumba ya kawaida (sio kibanda) na sijapata tatizo lolote la kiufundi yapata miaka 8 sasa.
Hiyo 10mm inatumika kwenye 2phase na 16mm inatumika sana viwandani au kwenye mashine.
 
Wewe sio fundi kwa sababu unaongea vitu sio vya kifundi.hakuna 2 phase hapa Tanzania.ni single phase na 3 phase ndo tunatumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…