Ndugu
Lee Swagger ,maoni yako niliya copy ngoja niyabandike hapa kama kumbukumbu[emoji16][emoji16]
Wakulungwa eee! Njooni tumshangae huyu jamaa!
______________________________________
Ukiniambia Nyumba itakua na Square Meter ngapi naweza kukupa Makadirio ya Msingi Tu, au Ujenzi mpka finishing.
Kwa Bei Ya Vifaa ya Sasa makadirio inaweza kugharimu million 100. Mpka Finishing. Gharama hyo inaweza Kuongezeka au kupungua Kutokana na Bei ya Vifaa Vya UJENZI na Upatikanaji Wake kwenye eneo Husika.
Hii Hapa ni mfano wa Vyumba 3. Nyumba ya Makazi.
- Masta 1, Vyumba vya Kawaida 2.
- Study/ Prayer Room
- Sebule, Dinning, Open Kitchen na Stoo yake
- Choo Cha public
- Bafu Public.
Ina Sqm 217.5. Kitalaamu Gharama ya Ujenzi Mpaka Kukamilka Kila Kitu ni Tsh 108,750,000/=
Huo ndio Ukweli Mchungu, Bila kukuongopea.
_______________________________________
Umeandika maoni kama mtu asiye na kichwa, basi tumia cha chini bhana...
(JOKES)