Lee Swagger
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 1,063
- 1,815
Basi Poa Nafuta Maoni Yangu Endeleeni Kujazana Ujinga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wenye nyumba wangekuwa mafisadi na wafanya biashara wakubwa tu.Mwenzangu kwa million 100 kungekua na nyumba huku mtaani[emoji16]
Anataka kumkatisha tamaa jamaa.Uwongo mtupu watu tunajenga na tunaona uhalisia...
Milioni mia eti[emoji38][emoji38]
Tena tapeli mwanafunzi tapeli mwelevu angeweka kitu kinachokaribia na uhalisia.tapeli huyo!
Usiyafuate ili wajukuu wako waje wasome ulivyokuwa unatema shudu in public.Basi Poa Nafuta Maoni Yangu Endeleeni Kujazana Ujinga.
______________________________________Lee Swagger
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiyafuate ili wajukuu wako waje wasome ulivyokuwa unatema shudu in public.
Alikuwa anataka kumkatisha tamaa jamaa tu hana.[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, nimeamua kuya laminate mawazo yake! Niliyakopi mahali kwa ajili ya kutengenezea uzi wake ili majukwaa yote waone ni jinsi gani Tanzania tunavyopigwa na vitu vizito [emoji23][emoji23]
Usingefuta, unajua nyumba inategemea na vile mtu anataka iwe. Mnaweza kutumia ramani moja, eneo moja, soil structure same, lakini gharama zikatofautiana kwa sababu ya quality kila mmoja anazotaka.Basi Poa Nafuta Maoni Yangu Endeleeni Kujazana Ujinga.