Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Ukisema 15m unamaliza nyumba nipe mchanganuo, nyumba ina ukubwa gani kwanza.
Just imagine unajenga nyumba inaingia tofali 5,000 za block. Hizo tofali tu ni zaidi ya 5m, bado mchanga, kokoto, cement, nondo, mengineyo na ufundi.
Mkuu, hizi nyumba zetu tunajua wenyewe jinsi zilivyo. Banda langu siwezi kuliweka kwenye viwango vya nyumba bora coz halina viwango stahiki, sema nitabishana tu kuwa nyumba yangu nimejenga kwa 40m japo haina viwango.
Nianze kukupa mchanganuo wakati wako unao?
Sina muda huo wa ligi mkuu. Ingia field ukaelewe kwa vitendo.
Karibu singida.