Gharama ya ujenzi wa vyumba vitatu, sebule, jiko na choo cha ndani

Ukisema 15m unamaliza nyumba nipe mchanganuo, nyumba ina ukubwa gani kwanza.

Just imagine unajenga nyumba inaingia tofali 5,000 za block. Hizo tofali tu ni zaidi ya 5m, bado mchanga, kokoto, cement, nondo, mengineyo na ufundi.

Mkuu, hizi nyumba zetu tunajua wenyewe jinsi zilivyo. Banda langu siwezi kuliweka kwenye viwango vya nyumba bora coz halina viwango stahiki, sema nitabishana tu kuwa nyumba yangu nimejenga kwa 40m japo haina viwango.

Nianze kukupa mchanganuo wakati wako unao?

Sina muda huo wa ligi mkuu. Ingia field ukaelewe kwa vitendo.

Karibu singida.
 
mimi nimejenga sana.kinachopandisha garama za nyumba ni kushindwa kupatana vizuri bei na.mafundi pamoja na kuibiwa vifaa.mafundi wengi ni wezi wa vifaa na garama za ujenzi siyo halisi.ukilijua vizuri soko la vifaa na kupatana vizuri bei hushuka kwa 50%.tulio na uzoefu wa estate nyumba ya kawaida.masta
3 rooms.jiko .choo .bafu.toilets.fens.paving.bati la msauzi haizidi 50.ukinipa 100m najenga gorofa.sizungumzii theory nimepractice 10 times

Nipo kwenye field ya vifaa vya finishing

Jamaaa wanapigwa mpaka unaingiwa huruma

Fundi hawezi kutosheka na hela ya ufundi anaenda kukumaliza kwenye bei za vifaa.
 
Hornet nipe mchanganuo wa nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi bati.

Then, nipe mchanganuo wako(hapa unatoa mchanganuo wako coz finishing inategemea mtu anatakaje) wa finishing tuone nyumba yenye 160sq.m utaijenga kwa shilingi ngapi hadi finishing.

Hii kazi pia nampa mkuu wangu DeepPond. Nataka kuona tofauti zetu ziko wapi hadi mtu aseme 15m "nyumba inaisha na anahamia"! Baada ya hapo tunaweza kufanya argument nyingine.

Khaa nikupe mchanganuo wewe ndo unataka kujenga au unataka kubishana?

Anaetaka kujenga mwenyewe katulia, wewe unabishana na mtu ameshafanya jambo lake kwa kutumia maarifa yake, unalazimisha wote tuwe njia moja na wewe.

Haya Nyumba nilijenga kwa 40M Singida.
 
Jf ni home of great thinkers mkuu, tunachojadili leo ni kwa faida ya wengi wanaokuja miaka ijayo. Tukianza kusema "mimi niko pale" kila mtu ataanza ku brag wapi alipo na anafanya nini hilo sio lengo.

Aliyeleta uzi alitaka kujua, in the end watajua na wengine wengi ambao hawakuuliza wala kuanzisha uzi.

Hongera kwa nyumba ya 40m Singida mkuu.
 
Hornet nipe mchanganuo wa nyumba ya kawaida ya vyumba vitatu kuanzia msingi hadi bati.

Then, nipe mchanganuo wako(hapa unatoa mchanganuo wako coz finishing inategemea mtu anatakaje) wa finishing tuone nyumba yenye 160sq.m utaijenga kwa shilingi ngapi hadi finishing.

Hii kazi pia nampa mkuu wangu DeepPond. Nataka kuona tofauti zetu ziko wapi hadi mtu aseme 15m "nyumba inaisha na anahamia"! Baada ya hapo tunaweza kufanya argument nyingine.
Mil 15 nyumba hauwezi kuisha,
ila inaweza kugikia hatua ya mtu kuweza kuamia na familia.
 
mimi nimejenga sana.kinachopandisha garama za nyumba ni kushindwa kupatana vizuri bei na.mafundi pamoja na kuibiwa vifaa.mafundi wengi ni wezi wa vifaa na garama za ujenzi siyo halisi.ukilijua vizuri soko la vifaa na kupatana vizuri bei hushuka kwa 50%.tulio na uzoefu wa estate nyumba ya kawaida.masta
3 rooms.jiko .choo .bafu.toilets.fens.paving.bati la msauzi haizidi 50.ukinipa 100m najenga gorofa.sizungumzii theory nimepractice 10 times
Sahii kabisa,
Wadau wengi kupata Ni Changamoto
Unakuta mtu anakwambia kajenga msingi wa vyumba vitatu kwa mil 10, fundi kamlipa mil 3.

Wakati hiyo mil 3 namlipa fundi kuinua msingi, boma zima na mpaka kupaua
 
Aisee nikupe million 20 unijengee two bedroom house basi
 
Sahii kabisa,
Wadau wengi kupata Ni Changamoto
Unakuta mtu anakwambia kajenga msingi wa vyumba vitatu kwa mil 10, fundi kamlipa mil 3.

Wakati hiyo mil 3 namlipa fundi kuinua msingi, boma zima na mpaka kupaua
Nipatie huyo fundi wako mkuu
 
Sahii kabisa,
Wadau wengi kupata Ni Changamoto
Unakuta mtu anakwambia kajenga msingi wa vyumba vitatu kwa mil 10, fundi kamlipa mil 3.

Wakati hiyo mil 3 namlipa fundi kuinua msingi, boma zima na mpaka kupaua
Duh!
 
Nimejenga nyumba ya vyumba vitatu yenye master, public toilet,kitchen,dining room combined with sitingroom from the foundation to lenter na kozi za juu kwa gharama ya 6.5M tena ina baraza mbili front and back hapo sijapaua, na msingi nimesuka nondo ya 8mm,baada ya kozi tatu nimezungusha seng'enge nyumba nzima kwenye vyumba va kuzunguka,nguzo nikaweka nondo ya 12mm, lenter nikapiga 12mm na kozi za juu nimeshafunga gharama ndio hiyo hapo nipo Moshi sadala anaebisha abishe, hiyo gharama pamoja na fundi mimi nimeshakabidhiwa box langu nyumba ukiigonga inalia chuma yani namkubali sana fundi wangu asee, nilisimamia mwenyewe mwanzo mwisho.

Watu tumeshindwa kujenga kisa tunaambiwa hadi uwe na milioni 100, tukipata milioni 5 tunaishia kuhonga vi iPhone 13Pro max tu aisee [emoji28]ubinadamu kazi
 
Msingi trip 10 mawe
Trip 2 mchanga wa msingi
Cement mifuko 20 kwa ratio ya 35 msingi
Fundi 400,000
Maji inategemea kama hapo 'site'
BOMA
trip za mchanga 14 za tofali
Mifuko 63 cement ya tofali, ratio ya 40
Fundi TSH.330,000
Mchanga wa kujengea trip 5
Nondo mm'12' -27
Nondo 'mm7'
Fundi 1m
KUPAUA
Bati 90
Mbao500
Fundi 700,000

Nawasilisha,kama kuna mapungufu natamani kurekebishwa,
NB.
Bei za vifaa na mafundi inategemea mkoa uliopo
 
Hizi gharama ni mikoa ipi mkuu? Naona trip a mawe, nadhani mawe yanapunguza gharama sana kuliko blocks kwenye msingi.

400k kwa ufundi, umejumuisha uchimbaji wa msingi? Basi kuna maeneo fundi wanalipwa kidogo sana.

Nimependa mchanganuo, japo gharama halisi inategemea na,mazingira kama ulivyosema.
 
Watu tumeshindwa kujenga kisa tunaambiwa hadi uwe na milioni 100, tukipata milioni 5 tunaishia kuhonga vi iPhone 13Pro max tu aisee [emoji28]ubinadamu kazi
MAisha ni kupanga umeamua kuwekeza sehemu sahihi kwako kwenye kuhonga
 
Hizi gharama ni mikoa ipi mkuu? Naona trip a mawe, nadhani mawe yanapunguza gharama sana kuliko blocks kwenye msingi.

400k kwa ufundi, umejumuisha uchimbaji wa msingi? Basi kuna maeneo fundi wanalipwa kidogo sana.

Nimependa mchanganuo, japo gharama halisi inategemea na,mazingira kama ulivyosema.
Mkoa Arsh
Trip ya mawe 4.5c.u.m ni 60,000 to 70,000
Mchanga maji chai 4.5c.u.m ni 60,000tsh ( Huu utumika kama mbadala wa kokoto, wengi hutumia kufungia mkanda baada ya kozi za msingi
 
Kwahiyo unategemea kwamba nimejenga vibanda vya kuku au?acha mambo yako kijana, mnakatisha wenzenu tamaa ila ukweli ndio huo.
Sio umejenga vibanda vya kuku mkuu unatakiwa uelewe siku zote ukubwa wa nyumba unadetermine na cost pia,vyumba vitatu nyumba inaweza kua na ukubwa wa sqm 150 lakini wakat huo huo kuna mwingine atajenga nyumba ya vyumba vitatu kwa nyumba yenye ukubwa sqm 220 hapo lazima garama zitatofautiana ,ndio mana nikakueleza kusema umejenga vyumba vitatu peke yake haitoshi unatakiwa useme na ukubwa wa hio nyumba.
 
Back
Top Bottom