mtungu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2021
- 270
- 435
Unataka kujenga wap au upo mkoa gani Mimi nipo dar fundi najenga kwa mkono wangu hapa nipo mbweni 0684109595 nichekiNaomben mnisaidie rough estimation ya gharama ya fundi kumlipa. Sijawahi kujenga nataka nianze kijenga mafundi huwa mnawalipaje mfano mm fundi nataka aanzie msingi hadi boma, je kwa nyumba ya vyumba vitatu master vyote, dinning kitchen store naweza kimlipaje fundi sijui kabisa wanavolipwa but sitak ule mfumo wa kumlipa kwa tofauli